<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Smile kakupa dhawadi gani? Babu, angalia nisikuaribie siku yako..
Nasubiria mahari yako.... ukichelewa nambinafsisha kwa fellow tablet mpaka apate hii makitu...:mimba:

Niko hapa next to you Babu... unataka nini?
Hebu sogea karibu zaidi unishikie huu mkongojo wangu.... nataka nikupe...😛opcorn:

lahaula! mambo hazarani. acha nikae seat ya mbele
Fellow tablet rule namba tatu hapo haihusiki. Hivi Keren Happuch umemwacha wapi? Aliniahidi angeniletea:hat: kutoka arachuga
 
Niko nje kwa zamana. Kuna mdada humu JF akikuweka kinyumba basi umekwisha. Nitapotea tena soon. Dah!
Hahahahahah...As long as unaenjoy haina tabu! Usikitumie sana lakini, kitumie kwa kiasi, utubakishie na sisi!!
 
Nasubiria mahari yako.... ukichelewa nambinafsisha kwa fellow tablet mpaka apate hii makitu...:mimba:
Dah! Ngoja niwahi..huyo kloro haaminiki kabisa! Anaweza akafanya kweli,
 
Fellow tablet rule namba tatu hapo haihusiki. Hivi Keren Happuch umemwacha wapi? Aliniahidi angeniletea:hat: kutoka arachuga
hehehe fellow tablet, Keren Happuch kapotea njia msuba umedakwa na figganigga, malizia na ugoro tu huku tamaa ni ndogo sana
 
Dah! Ngoja niwahi..huyo kloro haaminiki kabisa! Anaweza akafanya kweli,
Hahahaah fellow tablet wangu ni :hatari: kama Lionnel Messi. One mistake kitu kinatinga nyavuni

hehehe fellow tablet, Keren Happuch kapotea njia msuba umedakwa na figganigga, malizia na ugoro tu huku tamaa ni ndogo sana
Afu huyu mzee wa mia machale yananicheza. Tangu alipofumaniwa anapiga nyoka mafuta kwenye gari la faya hajaonekana tena hapa jamvini

Mmmhhh? are you sure????
:hand: ngoja kwanza...
Deskmate, I need your advice hapa.
:juggle::A S-coffee:😛hoto:
 
Hiki kizunguzungu nashindwa kujua kama ndo nimevimbiwa pilau, nimelewa fanta au ndo marazi yanatafuta njia ya kutokea.

Hebu mjukuu aliyejirani a-come this way niangalie kama ntaweza ku do the needful...

Atakayenionea MwanajamiiOne naomba amwambie kuwa leo nina aleji na madripu.....

Baada ya kusema hayo napenda kuwashukuru kuja katika sherehe hii na kuanzia sasa naanza kupokea zawadi (ambaye hakuja na zawadi anaruhusiwa kutoa pledge)

Nje ya mada: Smile ahsante kwa dhawadi taaaaamu!

.......................zawadi yako io babu
classical-cigar-pipe-with-leather-case-57208-1.jpg
 
Mmmhhh? are you sure????
:hand: ngoja kwanza...
Deskmate, I need your advice hapa.
Advice for what? hehehe ninavomjua fellow tablet hatanii, anamaanisha.
We kaushike tu halaf kesho ukacheki klinik
 
Hahahaah fellow tablet wangu ni :hatari: kama Lionnel Messi. One mistake kitu kinatinga nyavuni

Afu huyu mzee wa mia machale yananicheza. Tangu alipofumaniwa anapiga nyoka mafuta kwenye gari la faya hajaonekana tena hapa jamvini

:juggle::A S-coffee:😛hoto:
hehehe mzee wa mia hela ya wese kaenda kuibiwa zenji na zinduna.
 
Back
Top Bottom