Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Orait Big shem,
Umesomeka vizuri,nasubiri kuna mtu fulan km atahudhuria naweza piga hiyo makitu ya Amarula.
Chezeya Amarula....chezeya mutu fulani.....utajuuta....lol
Orait Big shem,
Umesomeka vizuri,nasubiri kuna mtu fulan km atahudhuria naweza piga hiyo makitu ya Amarula.
Aisee nyie watu.....
Mmeifanya siku yangu kuwa so special.......... watoto wanashangaa tu hili dingi linacheka nini peke yake?
BTT: ADI my darling shem, sijaona sehemu yoyote ile kama kuna mjukuu aliyeandaliwa kushika mkongojo wangu wakati bibi yenu akinilisha keki. Si wajua kizeezee ulilishwa keki shurti umkumbatie mlishaji? Sasa wakati wa huu ukumbatiaji, mkongojo wa babu nani atanisaidia kuushika? Au hii haizingatii itifaki?
Baada ya kusema hayo, sasa waweza mleta golden mpolee huku tayari kwa ukaguzi na kumwingiza rasmi kwenye familia yetu.
haya vinywaji tayari tayari...just in case nimeweka pia Konyagi, Common na common sense, najuwa traditionalists watakuwepo tu (Maranya mmojawapo)....of course Amarula, na pia JD kwa muzee MTM and Co.
sasa ni mida ya kujiswafi....sweetie I need your help:tongue:
Cant wait no longer...... the sooner the better,right?Haya mengine ni ya chumbani...Usiendelee sana hapa wajukuu wengi sana....Lakn Am sorry mengine nitakueleza badae.
Muzee muzima....
Happy birthday....
Sasa....ok....ok.....
Have a blast...
@Shem: hivi hii mistari unaindaa mwaka mzima? unazama tu na kuibua mojamoja....:focus:
Good gal.... Uzuri wagogo wangu woote wazuri na sexy! lol
ZD Kumbe hii familia haifai? Nahisi yaweza nikuta hata mimi..... naanza kua na mashaka!
Love you have never ever answered me that way.... That explains it all, just a few blanks remaining..... Dah!
There are currently 16 users browsing this thread. (11 members and 5 guests)
Mbona Birthday boy anachungulia tu?
Halafu na wewe una kesi kubwa sana ya kujibu...... Unataka kuendelea kunidanganya bado unasuluhisha matatizo ya ndugu zako? Nlishakuambiaga mi najua kuoa tu, sijui kutoa talaka.
Haya mengine ni ya chumbani...Usiendelee sana hapa wajukuu wengi sana....Lakn Am sorry mengine nitakueleza badae.
haya vinywaji tayari tayari...just in case nimeweka pia Konyagi, Common na common sense, najuwa traditionalists watakuwepo tu (Maranya mmojawapo)....of course Amarula, na pia JD kwa muzee MTM and Co.
sasa ni mida ya kujiswafi....sweetie I need your help:tongue:
Chezeya Amarula....chezeya mutu fulani.....utajuuta....lol
STOP!! Mjukuu atamteuaje mjukuu mwenzie? Ushasahau mila zetu mara? haya mambo ya wakubwa yanawahusuje wajukuu? Hili ni jukumu lako na dada na mawifi zako kuteua mjukuu ambaye mnaona anafaa kwa hii kazi.....NEED I SAY MORE?Darling shem baaada ya simu ulonifokea asubuhi ka mtoto mdogo unafikiri nina hamu? Hayo maamuzi yako mkononi mwa MJ1, Alafu tafadhali muhabarishe aja apange kazi za hawa wajukuu....
Smiles, Cantalisia, Husny, feis buk, obsesd, Golden Mpolee, Kipipi, Michelle, Lizzy, Afro D, Mwali, Daughter.... wanasubiri zamu zao.
ADI,
Nimekubaliana na ushauri wako, sio kwamba sitomuweza smiles bali hatutowezana kabisa!lol
Kwakuwa una maunty wengi endelea kupitisha macho utampata tu.
:ranger:Sweetie...you still want me to say something on this?:juggle:
Sweetie...you still want me to say something on this?:juggle:
Afu shem hii tabia ya kuwakuwadia wajukuu zangu bila kibali changu umeianza lini?Umeona eeeh? Dawa yako uwe unatutembelea home juma pili ya Mwisho ya kila mwezi.... Ndio hua twakaribisha mashemeji woote kwa ajili ya lunch, walo ao huja na families zao zoote.... Karibu sana nyumbani.....
BTW Sorry about your name.
Aaaah Antie yangu mbona sasa unasusa? Nakuomba unisamehe Auntie jamani. Mimi nakubali wewe uwe msimamizi mkuu wa shughuli hii, mie nilichukia kwa kuwa hukunipangia kazi jamani.Darling shem baaada ya simu ulonifokea asubuhi ka mtoto mdogo unafikiri nina hamu? Hayo maamuzi yako mkononi mwa MJ1, Alafu tafadhali muhabarishe aja apange kazi za hawa wajukuu....
Smiles, Cantalisia, Husny, feis buk, obsesd, Golden Mpolee, Kipipi, Michelle, Lizzy, Afro D, Mwali, Daughter.... wanasubiri zamu zao.
Eti shem ni kweli??????kwenye ile thread ya Wanaume wa kichaga?