<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

NOOO! It wasnt me...... kale kajukuu kalinifosi nibwatuke....kalitishia kuongeza speed ya dripu nisingefanya vile.... Sasa machungu ya Regia umesema bado hayakutoka, ulitaka uongezewe na ya ODM? No? do the needful basi lol

Duh Babu umeamua kunichinjia baharini?!
 
Afu shem hii tabia ya kuwakuwadia wajukuu zangu bila kibali changu umeianza lini?

Sasa buddy mbona unakuwa mnoko hata siku yako ya kufurahi pamoja na ndugu, jamma na marafiki?

ADI anajaribu kuniwekea mazingira mazuri ili niji feel at home lkn we unammaindi!
Siku kama ya leo unakuwa mvumilivu tu ili nami nijumuike na jukuuz na wapwaz!
 
Ukija umevaa hayo makitu utaishia kwenye geti........😛hoto:

Shem nisharekebisha usiwe na wasi kabisa.... Tuliza pressure.... haya baaas unaonaje upate tikiti saizi? it has been long toka mara ya mwisho umekula.... Zion D alikua hajajipanga vema kanipa hayo maagizo, ajipange atoke vipi....lol.. asije akaja na dera bure....
 
Mie nimetulia tu hapa nawasoma mnavyojazana ujinga........................
Happy Birthday Mzee Mwenzangu Asprin..............Hawa watoto weshanishinda maana kila siku kunipa presha tuuuuuuu......
Shukrani mzee mwenzangu. Hawa ili uendane nao sawa unatakiwa uende kimjinimnjini. Mwenzio hapa nimetinga raba mtoni za kufa mtu na kofia ya Nike bila kusahau sun glasses. Huku kichwani nimepiga die ya uhakika na ndevu nimenyoa O style. Hapa wajukuu hawachezi mbali na wewe.........

Hebu angalia hii bethdei sijatoa hata shilingi, wajukuu wamechuna vibuzi vyao kwa ajili ya sherehe ya mimi babu yao.......... we endekeza vijukuu vya kiume, hata baiskeli yako huthubutu kuiuza tena vyakupigia hesabu utakufa lini ili vigawane urithi...lol

Wajujuuuuuuuuz...... haya come this way....!!!!!!
 
Sasa buddy mbona unakuwa mnoko hata siku yako ya kufurahi pamoja na ndugu, jamma na marafiki?

ADI anajaribu kuniwekea mazingira mazuri ili niji feel at home lkn we unammaindi!
Siku kama ya leo unakuwa mvumilivu tu ili nami nijumuike na jukuuz na wapwaz!
Unajua mate bado sijajua kama kale katabia kako ka ufataki umeshakaacha au la. Ukaguzi nliowafanyia wajukuu zangu nimegundua hawastahili kufanyiwa ufataki..... vinginevyo niko radhi kuwaoa mwenyewe.....
 
Mwaliko kwa wanaume hua atoa mwaliko Sweetie, ngoja nikafikishe ujumbe and he will call you (labda kama mna bifu na siamini! lol)

ADI,
Sina bifu lolote na mwanaMMU, labda awe ni Rejao!lol

Kama my sweet wako amekuruhusu uje kujumuika nasi katika hatua ya tatu ya hii besdei sidhani kama atafanya hiyana kunipa mwaliko rasmi.

We mpelekee limeseji tu, nshaanza maandalizi ya kukaribishwa.
 
Shem nisharekebisha usiwe na wasi kabisa.... Tuliza pressure.... haya baaas unaonaje upate tikiti saizi? it has been long toka mara ya mwisho umekula.... Zion D alikua hajajipanga vema kanipa hayo maagizo, ajipange atoke vipi....lol.. asije akaja na dera bure....
Ukiwa shem wangu namba 1 yaaki Festishemu wangu, utakachosema kwangu ni amri. Natekeleza.

Kwen geti yupo Kimey hommie......we tulia zako ndani...mbona unakuwa so precocious?
Hommie naomba mwongozo wako: Ile rule #3 ina apply hata kwa wajukuu? Am doomed!
 
Mie nimetulia tu hapa nawasoma mnavyojazana ujinga........................
Happy Birthday Mzee Mwenzangu Asprin..............Hawa watoto weshanishinda maana kila siku kunipa presha tuuuuuuu......

Hivi Mtambuzi kapewa kazi gani wajameni? lol
 
Hivi Mtambuzi kapewa kazi gani wajameni? lol
Huyo mzee mwenzangu ntakuwa naye haitebo. Chondechonde watu wa getini hakikisheni haingii na ule msuli wake au ile kaunda suti yake ya rangi ya njano (jamaa linaipenda yanga kuliko mkewe) Ila ananichaanganya anapoivaa hiyo kaunda suti yake na raba za zambarau.... Akija kihivyo, sherehe itaahirishwa mpaka itakapotangazwa tena.
 
ADI,
Sina bifu lolote na mwanaMMU, labda awe ni Rejao!lol

Kama my sweet wako amekuruhusu uje kujumuika nasi katika hatua ya tatu ya hii besdei sidhani kama atafanya hiyana kunipa mwaliko rasmi.

We mpelekee limeseji tu, nshaanza maandalizi ya kukaribishwa.

Nikimbilie kusema mbona Rejao peace saana.... Unajua kua ni kakangu yule? Siku ukija home lazima utamkuta....lol... Sasa itakuaje hap? Ujumbe kwa Sweetie umefika usitie shaka kabisa!
 
Unajua mate bado sijajua kama kale katabia kako ka ufataki umeshakaacha au la. Ukaguzi nliowafanyia wajukuu zangu nimegundua hawastahili kufanyiwa ufataki..... vinginevyo niko radhi kuwaoa mwenyewe.....

Sasa kiongozi mbona unanibomoa hadharani? Mbona mimi sisemi yale mambo yako ya Jolly club kwakuwa najua kila kitabu na zama zake!

Kuwang'ang'ania wajukuu wote utakuwa huwatende haki wao wenyewe na hivyo kuwanyima haki zao za kikatiba. We angalia angalia hata kama kuna nunda kuliko wote nisogezee, au unaogopa kumpoteza jumla? Si umeona ktk kale ka sredi wanasema kurya na sukuma ndo wenyewe!lol
 
Ukiwa shem wangu namba 1 yaaki Festishemu wangu, utakachosema kwangu ni amri. Natekeleza.

Hommie naomba mwongozo wako: Ile rule #3 ina apply hata kwa wajukuu? Am doomed!

hahahaha.... Sheri ni msumeno! Mie nawaambia kila siku rekebisheni hio sheria hamtaki! lol.....

Shem mstari wa kwanza nimeona hapo bold tu!
 
Ukiwa shem wangu namba 1 yaaki Festishemu wangu, utakachosema kwangu ni amri. Natekeleza.

Hommie naomba mwongozo wako: Ile rule #3 ina apply hata kwa wajukuu? Am doomed!

hommie hao wajukuu ni wajinsia gani?
 
Back
Top Bottom