<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Love...hivi Mwita si alikuwa anatafuta tafuta, ndo tumuunganishe na huyu Kipipi... au vipi

Sweetie hapa unatafuta ugomvi na Kbd.... lol... sijui awe nani, feis buk (yuko leave kukaguliwa), Smiles (Manyara hatamuweza), Golden Mpolee(mmmh! babu bado hajakagua), Obsesd (kagoma hataki usumbufu) labda ongea na Cantalisia tusikie asemaje....lol
 
Big sisy,
Hiyo lekcha hapo kidogo umeniacha,
Naomba iiendelee baada ya ukaguzi wa BABU ODM kwanza,
Na pia naomba babu ashirikishwe kabla hamjaanza kunielewesha hiyo lekchalol!
 
Nimefurahi umeelewa Manyara.... Mtu kama wee hatakiwi akose pembeni kwa shemeji yangu..... Hio ya baadae nimeomba kwa mwanaume mwenzenu hapa kanigomea kata kata (ngoja nitumie nguvu ya ziada nikubaliwe); unipigie debe na ODM. sasa hapo bold inabidi nirekbishe... Care to say nn hasa ili nayo nijifunze?

Hakuna shaka ADI, nimekusoma.
ODM ni chalii yangu nitaongea nae ili atie uzito hatimaye uruhusiwe kutujoin, at the same time endelea kusema na shemeji yetu atakuelewa tu, mtu wako mwenyewe hawezi kukushinda.

Hapo nilipobold? Relax. Hapa JF sijaona bandiko lako kwenye jukwaa moja tu. Maeneo mengine niliyofanikiwa kupita hata bila kutia neno ninaona mkono wako! lol
 
Big sisy,
Hiyo lekcha hapo kidogo umeniacha,
Naomba iiendelee baada ya ukaguzi wa BABU ODM kwanza,
Na pia naomba babu ashirikishwe kabla hamjaanza kunielewesha hiyo lekchalol!

Kid sis... babu kweli yeye ndio mkaguzi.... Lakini Mwenyekiti anaepitisha miswaada yote ndio huyo your big shem...lol... Babu kushirikishwa kuko pale pale.....

Cantalisia hebu mpigie simu MJ1 mbona haji (mie leo namuogopa....lol)
 
K

Kwa hilo sawa big sisy,
Namwachia mwenyekiti my Big shem,

Hilo la kumpigia simu MJ1,hata mie naogopa,
Ukizingatia na hilo bandiko la Babu ODM hapo mlangon mmmhh!
Naomba tuvute subira si unajua hizi sikukuu zimeumana,
Hope humo ndani na maadhimisho ya mwaka mpya yataungaishwa lol!
 
Hakuna shaka ADI, nimekusoma.
ODM ni chalii yangu nitaongea nae ili atie uzito hatimaye uruhusiwe kutujoin, at the same time endelea kusema na shemeji yetu atakuelewa tu, mtu wako mwenyewe hawezi kukushinda.

Hapo nilipobold? Relax. Hapa JF sijaona bandiko lako kwenye jukwaa moja tu. Maeneo mengine niliyofanikiwa kupita hata bila kutia neno ninaona mkono wako! lol

Mwita Manyara.... Reading between the lines... I am humbled. Utadhani umeona makala yangu ambayo am about to post Jukwa la Dini (lililo shindikana kuliko yooote) lol....

Sasa kwa haya maelezo I have a gurantee kua naja na mimi, maana kisingizio cha Sweetie hapa ilikua guys hawataki! lol.... Yaani hapa kakamatika kama hakutaka mwenyewe niwepo!
 
Sweetie hapa unatafuta ugomvi na Kbd.... lol... sijui awe nani, feis buk (yuko leave kukaguliwa), Smiles (Manyara hatamuweza), Golden Mpolee(mmmh! babu bado hajakagua), Obsesd (kagoma hataki usumbufu) labda ongea na Cantalisia tusikie asemaje....lol

ADI,

Nisaidie sifa za smiles inawezekana nitammudu, as long she is readily available!lol

Cantalisia namuona kama mtoto wa baba paroko kwa saaana!

Btw, jina langu ni Maranya not Manyara.
 
Sweetie hapa unatafuta ugomvi na Kbd.... lol... sijui awe nani, feis buk (yuko leave kukaguliwa), Smiles (Manyara hatamuweza), Golden Mpolee(mmmh! babu bado hajakagua), Obsesd (kagoma hataki usumbufu) labda ongea na Cantalisia tusikie asemaje....lol

I'm watching you aisee!
 
K
Kwa hilo sawa big sisy,
Namwachia mwenyekiti my Big shem,

Hilo la kumpigia simu MJ1,hata mie naogopa,
Ukizingatia na hilo bandiko la Babu ODM hapo mlangon mmmhh!
Naomba tuvute subira si unajua hizi sikukuu zimeumana,
Hope humo ndani na maadhimisho ya mwaka mpya yataungaishwa lol!

Hapo sawa.... naona ushakubali iwe mkononi mwa shemejio.... mie wajua how I trust ukiwepo wewe au Husny....lol

Naona MJ1 Tumvutie subira.... yaana hadi nimechoka kumsumbiri aje angalie final touches...:yawn:
 
Back
Top Bottom