<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Mwita Manyara ndio maana hii sherehe imegaiwa in three stages..... Ya kwanza babu anasheherekea na wajukuu (of coz na kuwakaguaz), Ya pili ni wooote hadi wageni waalikwa na wana MMU wooote. Ya tatu na mwisho hapo ndio nyie wakulu mwaingia hapo.... Nimeambiwa akina mama hatutaruhusiwa... sherehe kwetu itakua imeisha! lol

Ha ha ha ADI, nashukuru kwa ufafanuzi wa ratiba na protokali. Nilimuomba ODM anikabidhi mjukuu wake mmoja ili niwe mdau wa kudumu wa MMU lakini bado hajasomeka!

Hiyo hatua ya tatu na ya mwisho itabidi na wewe ushiriki, kwakuwa unacheza namba zote uwanjani isipokuwa position moja tu! Lol
 
Inaruhusiwa kabisa...so nitabeba pia na tonic za kutosha

Shemeji ZD utakunywa nini nawe?
Shem wa ukweee umenitosa hata wewe..Mie banta kubwa na maji makubwa ya Kilimanjaro kama kawa...
halafu nilisikiwa kuwa wanakwaya wanaongezeka kule kigangoni(Hongera kwa hilo).Bila shaka Mnamuimbia Bwana kwa matari na kucheza sasa.
 
Canta umejifunza lini kuta rushwa......:A S-coffee:
Shemu wangu sio rushwa hiyo,
Mpolee hajamaliza assignment anataka kwenda maktaba kujisomea,
Ndi maana nimemfanyia hako kampango,
Mmmh!shem nawe huna dogo?potezea basi,
Hizo katon zangu 3 za savanna nipata au?,ninampango wa kuzima kbs leo.
 
Ha ha ha ADI, nashukuru kwa ufafanuzi wa ratiba na protokali. Nilimuomba ODM anikabidhi mjukuu wake mmoja ili niwe mdau wa kudumu wa MMU lakini bado hajasomeka!

Hiyo hatua ya tatu na ya mwisho itabidi na wewe ushiriki, kwakuwa unacheza namba zote uwanjani isipokuwa position moja tu! Lol

Nimefurahi umeelewa Manyara.... Mtu kama wee hatakiwi akose pembeni kwa shemeji yangu..... Hio ya baadae nimeomba kwa mwanaume mwenzenu hapa kanigomea kata kata (ngoja nitumie nguvu ya ziada nikubaliwe); unipigie debe na ODM. sasa hapo bold inabidi nirekbishe... Care to say nn hasa ili nayo nijifunze?
 
Shem wa ukweee umenitosa hata wewe..Mie banta kubwa na maji makubwa ya Kilimanjaro kama kawa...
halafu nilisikiwa kuwa wanakwaya wanaongezeka kule kigangoni(Hongera kwa hilo).Bila shaka Mnamuimbia Bwana kwa matari na kucheza sasa.

Orait umepata soda zipo za kutosha na maji kilimanjaro yapokabisa ya kutosha...shemeji wa ukwee ujanja huo sina sema ndo ivo limits za ushemeji si unazijua...hujambo lakini? Ile project umemaliza au bado?
 
Niliamka nikaenda kwanza shamba kumwagilia mboga zangu! Hope mambo sio mabaya manake naona jeshi ni kubwa na linashughulika vilivyo!!!

Ni kweli Dear... Hamna kilicho haribika kazi zooote zimeisha kabisa! wee nenda tu kavae na hakikisha you look lovable....lol
 
Shemu wangu sio rushwa hiyo,
Mpolee hajamaliza assignment anataka kwenda maktaba kujisomea,
Ndi maana nimemfanyia hako kampango,
Mmmh!shem nawe huna dogo?potezea basi,
Hizo katon zangu 3 za savanna nipata au?,ninampango wa kuzima kbs leo.

Hizo umepata, ila utaongeza bajeti ya ulinzi shirikishi in case ukizima.....:shock:
 
Shem wa ukweee umenitosa hata wewe..Mie banta kubwa na maji makubwa ya Kilimanjaro kama kawa...
halafu nilisikiwa kuwa wanakwaya wanaongezeka kule kigangoni(Hongera kwa hilo).Bila shaka Mnamuimbia Bwana kwa matari na kucheza sasa.

ZD Kumbe hii familia haifai? Nahisi yaweza nikuta hata mimi..... naanza kua na mashaka!

Cannot have a word on that mpenzi....lets nimekuwa mmbeya bure....Sorry love

Love you have never ever answered me that way.... That explains it all, just a few blanks remaining..... Dah!
 
Hizo umepata, ila utaongeza bajeti ya ulinzi shirikishi in case ukizima.....:shock:
Usijali shemu wangu,
Kwa vile nimedhamiria kuzima, zikiisha hizo nikawa bado itabidi iongezwe katon nyengine moja,
Swala la kuongeza bajeti sio ishu sana nitaongeza isitoshe nitakuwa kwenye mikono salama kbs.
 
Back
Top Bottom