AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,113
- Thread starter
- #281
STOP!! Mjukuu atamteuaje mjukuu mwenzie? Ushasahau mila zetu mara? haya mambo ya wakubwa yanawahusuje wajukuu? Hili ni jukumu lako na dada na mawifi zako kuteua mjukuu ambaye mnaona anafaa kwa hii kazi.....NEED I SAY MORE?
How can I say NO to my Darling shem? Lakini asubuhi umenigombeza saana shem..... I felt bad.