Golden Mpoleeee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 572
- 206
Hana nia mbaya... sisi mabinti nyumbani wooote wanapatana! hakuna kabisa ugomvi umeelewa dear... Nia yake ilikua hii hapa chini... Heb msome....lol
Jaman Goldemn Mpolee,
Ukuje basi huku jikon,unisaidie kusanga nyanya,
Then hizo sambusa tutamalizia baada ya kuunga mchuzi.
Kama nimebanwa tu kwa ajili ya sherehe basi ok. ctak kugeuzwa kuku wa kisasa!