<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Kikubwa wasikose wakati wa kukaguliwa! Maana sasa mamboa yooote yaenda vizuri na maandalizi soon yatakua super! Saizi naanza ku relax sasa..... Dah!
Stage hiyo nina uhakika hawezi kuikosa kwan kanuni za BABU wanazijua,
Bila ukaguzi wake unakosa hata Qualification za kuwa JF,
Na mbaya zaidi unakua usha jidisqualify kuwa mjuu wake hata ukipata mchumba babu hatatoa idhin ya kuolewa.
 
Babu, hongera kwa siku yako ya kuzaliwa! Nakuombea afya njema na mafanikio tele kwa mwaka 2012. Mbarikiwe sana na familia.

AD:
Asante kwa kumwandalia babu sherehe nzuri namna hii...i hope sijachelewa sana. Ubarikiwe na siku njema my dear!
 
It's worth it... You fight for it and you fight it for keeps Dear.....lol... Hio ni Lesson # 1 (if you are interested join Mwali for the classes)

Kwa mwanamke yeyote yule Mapishi ni muhimu.... It is kind of a weapon, hivo you want to be my niece you learn to be a Great woman! lol
:eyebrows:

na mm nataka hayo mafunzo! hiv vitu ndio napenda kweli hivi.
 
Daah......kumbe leo kuna party?? Aisee, hepi besdei babu ODM.....
Mwanakwetu pitiliza tu huku kwa kichen,
Tuamalizie kuandaa mahanjamu,
Ili babu akitoka huko rum aliko na mjukuu mtiifu wa wajukuu wakute mambo tayari.
 
mm kazi sipendi cio siri!

mmmh! hapa kazi ipo... GM sasa si unaelewa ule msemo wa asie fanya kazi na asile?

Apo juu...baada ya stori za mapishi, Mbona sisikii special request za vinywaji? Of course Hus yeye kasema Dompo....wengine? LOL

Sweetie I bliv you get the idea leo ni kinywaji gani am in the mood for... Considering the challenges I have faced hapa....lol
 
Stage hiyo nina uhakika hawezi kuikosa kwan kanuni za BABU wanazijua,
Bila ukaguzi wake unakosa hata Qualification za kuwa JF,
Na mbaya zaidi unakua usha jidisqualify kuwa mjuu wake hata ukipata mchumba babu hatatoa idhin ya kuolewa.

Sasa hapa nikisema wewe ni mwerevu na mtulivu kuliko woote nakosea? lol... Hili suala hata Husny kagusia.....
 
umepata, katoni mbili...

dah...valuer utakunywa na nini au kavu kavu?
Fanya katon tatu Big shem.
Unajua kesho sio siku ya kazi,
So hata nikizima itakuwa ni sehemu ya kusherekea sikukuu ya babu ODM.
 
Babu, hongera kwa siku yako ya kuzaliwa! Nakuombea afya njema na mafanikio tele kwa mwaka 2012. Mbarikiwe sana na familia.

AD:
Asante kwa kumwandalia babu sherehe nzuri namna hii...i hope sijachelewa sana. Ubarikiwe na siku njema my dear!

Happuch pole na maandalizi ya Mapishi maana safari hii nilikubwagia... Vipi kila kitu tayari?
 
Back
Top Bottom