min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,242
- 167,366
😆😆😆 wamasai wana uzuri ganiUkweli unaujua sema unajikaza min kutetea kabila lako 😹😹
Arusha wazuri tukiwatoa wachaga wazuri wamasai 😹😹
😆😆😆 wamasai wana uzuri ganiUkweli unaujua sema unajikaza min kutetea kabila lako 😹😹
Arusha wazuri tukiwatoa wachaga wazuri wamasai 😹😹
Lamo ana bifu na wachaga.😅We unaangalia umbo tizama vitu vingine tofauti na hapo utarudi hapa,
Wa kusini hao ndo makalio magumu km kokoto kudadekiKila mdada analo kiasi chake hakika macho yanafaidi sana japo kuna wenye vishundu vigumu kama kitako cha bunduki, hakitetemi hata kidogo.
Acha wivu binti🤣Unanyota kali sana ya kuwahishwa mbinguni, nakutakia safari njema huko uendako...
Acha wivu binti, nilishaishi Arusha pia...ina Warembo kuliko Dsm na hii ZanzibarChuga ipi? Ya waliooza meno au?
Hata mi mwanzo niliamini hivyo lakini baada ya kuishi huko na nikarudi kwetu tena ndipo niliona tofauti kubwa nilipoishi dar pia nikagundua asilimia 60+ ya wanwake wanaosumbua jiji ni kutokea kanda hiyo hiyoLamo ana bifu na wachaga.😅
Sasa kuvuta bange ni tatizo?🤣Tatizo wanavuta bange na shisha😀
Wazuri hao kwasababu sio MabantuArusha ni mji umebeba warembo wa kirangi , kinyaturu kinyeramba, ki Iraq, kichaga , kisonjo ,kipare , kimangati , kimeru , ambapo inasemekana ndio makabila yenye wadada warembo pia
Hao ndio namba moja kwa uzuri na Wasomali asiwasahau🤣Wamasai mkuu usiwasahau,
Hahahaha🤣🤣🤣🤣Wa kusini hao ndo makalio magumu km kokoto kudadeki
Lamomy yeye ana angalia wachaga wapambanaji huko soko la kariakoo ndio maana 😅Hata mi mwanzo niliamini hivyo lakini baada ya kuishi huko na nikarudi kwetu tena ndipo niliona tofauti kubwa nilipoishi dar pia nikagundua asilimia 60+ ya wanwake wanaosumbua jiji ni kutokea kanda hiyo hiyo
Hao wa Dar wengi asili yao ni Arusha, Kilimanjaro na ManyaraUhalisia.. Arusha Wanawake wazuri wapo ILA.. sio kama DSM.
DSM kuna Pisi kali aisee..
Mie nipo Arusha kikazi huu mwaka wa 3 sasa.. ila kila nikirudi DSM kusalimia Familia aisee huwa nababaika sana.
Hata Mavazi.. DSM wanajua kupiga pamba..
Mji ni mdogo huu (Arusha Mjini ni kama Wilaya ya Temeke tu).
DSM nenda MWENGE nenda KIGAMBONI ferry pale... sehemu mbili tu hizo..
Kwanini yanakua magumu vile?Wa kusini hao ndo makalio magumu km kokoto kudadeki
Alafu huyo mwenye kitako kigumu kama kitako cha bunduki ni mkinga mwenzio🤣Kusini yote ya moto, acha kufananisha watoto wa kusini na vitu vya ajabu..!! 😹😹
Kusini watu wamesusiwa misambwanda sio mpk uende uturuki..!!
Kuna pisi za kimasai ni kali balaa zina kila kitu mjuba.😆😆😆 wamasai wana uzuri gani
Sawa mm kama kawaida yangu ni mzee wa kamati ya michango pekeeAcha wivu binti