min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,275
- 167,447
Jiji la arusha lina wanyaturu, wasonjo , wamasai , wa Iraq, wama nga'ati , wachaga , wameru ,wapare , warangi , wasambaa, wadigo , , na haya makabila zipo fimbo zimesimama hatari🤣Unatetea dada zako 😹😹
Sasa walioungua na meno na kudondokea bafuni kina nani??
Chuga si wamasai na wambulu?
Moshi hapo itoe hao ni special case..!! 😹😹
Toa hayo makabila yanayopatikana hapo arusha , watoe daslamu halafu taja warembo waliobaki🤣