min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,242
- 167,284
Hao wahaya wanapishana uchagan kuchukua wachumba🤣Umepata bwana mchaga? 😹😹
Hao wachaga wenye makalio makubwa watakuwa wamemix Ila asilia wana maumbo ya simba..!!
Halafu na wahaya unawaweka wapi? Na wananyamwezi pamoja na wasukuma??
Arusha wamasai ndio wazuri lakini wachaga uongo pure uongo..!! 😹
Mimi marafiki zangu wengi wachaga Ila nawakalisha 🤣😜