Guys hapa Arusha kuna vyuma sio poa

Guys hapa Arusha kuna vyuma sio poa

Aisee huu mji ni una warembo vibaya mno. Nipo hapa stendi ndogo jirani na Kimahama yaani shingo inataka kukatika sijui ni wa mkoa gani hawa mabinti wa Tanzania, warefu weupe/maji ya kunde ngozi nzuri,African figure aloo unaweza kuuza ukoo. Jamani wanadaslama huko nitarudi in two weeks, sirudi mapema huko kunaboa!
Bila picha ni mlenda kwenye pilau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom