Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,598
- 95,282
Si ndo pisi kali hizo 😹😹Sijawahi vutiwa na mrangi, naogopa kupigwa juju nikawa zoba/fala.
Si ndo pisi kali hizo 😹😹Sijawahi vutiwa na mrangi, naogopa kupigwa juju nikawa zoba/fala.
Warangi hapana kwanza wana nuksi balaaKina sepenga si ndo pisi classic zinazotokea singidani..!! Ndo warangi hao.
We unajua warangi wa wapi?
Mahi ita boda ushaanza kutoka nje ya lane
Muongo wewe 😹😹🤣Jirani sina vita na kabila lolote lile ila huyo ni mkinga.
Wapo wengi tu kazuri sana ila nyash ngumu kuliko maisha yangu 😂
Sema wana kausagaji kwa mbali 😹😹Naanza kufoli in love nao
😹😹😹 weka picha tuoneZimechambuka kama uwanja
No kwangu pisi kali ni hiiSi ndo pisi kali hizo 😹😹
Ndio wa singida hao sasa pure 😹Warangi hapana kwanza wana nuksi balaa
Ndio wa singida hao sasa pure 😹Warangi hapana kwanza wana nuksi balaa
Tulia wewe usikute ndio wewe 😂Lete hapa mambo kwa ushahidi 😹😹
Afadhali maana moyo ulianza kwenda mbio 😂Hao leo nawapumzisha 😹😹😹
Jirani weka bana, hata nikiwa mimi nitakwambia..!! 😹😹😹Tulia wewe usikute ndio wewe 😂
Fake Id zinaficha mengi
Leo kuleni utawala kina Mura 😹😹Afadhali maana moyo ulianza kwenda mbio 😂
Umenitisha ulivyosema nimempatia wapi huyo mkinga, isijekuwa dasalama upo peke yako na nilimuopoa kkoo.Jirani weka bana, hata nikiwa mimi nitakwambia..!! 😹😹😹
Ila mi nimedate na Mangi tu hata wakinga wenzangu sijawahi..!!
Km wewe Mangi basi sawa..!
Lete evidence hapa na ninavyopenda ubuyu sasa.. 🤣
😂 mimi vita sitaki nikikumbuka yule wangu alinishikiaga kisu najiweka nao mbali maana mimi ni mtu wa watu.Leo kuleni utawala kina Mura 😹😹
Huo sasa uongo 😹😹Umenitisha ulivyosema nimempatia wapi huyo mkinga, isijekuwa dasalama upo peke yako na nilimuopoa kkoo.
Ushahidi siku nyingine nikumbushe kesho saa 3 usiku.
Jirani ngoja nifanye kazi humu leo nacheka sana 😹😹😂 mimi vita sitaki nikikumbuka yule wangu alinishikiaga kisu najiweka nao mbali maana mimi ni mtu wa watu.
Hapa wewe unataka ushahidi gani, wa mkinga au wa kupewa chiu?😂Huo sasa uongo 😹😹
Lamba Joker 🤣
Piga kazi huyo mangi asikuacheJirani ngoja nifanye kazi humu leo nacheka sana 😹😹
Acha ujinga 😹😹Piga kazi huyo mangi asikuache