min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,836
- 132,245
Za dar zina vingoma vyao na madira ,vinakalia mpaka chupa za bia kunakoHata za Dar na Mwanza zinavuta pia.
Za dar zina vingoma vyao na madira ,vinakalia mpaka chupa za bia kunakoHata za Dar na Mwanza zinavuta pia.
Ni balaaHata za Dar na Mwanza zinavuta pia.
Hata wachaga tupo na tunazo shape balaaKabisa na wamasai kina irine uwoya
Ni kweli pia kuhusu malalamiko ya kwamba pwani pisi nyingi ni laini mbili?Za dar zina vingoma vyao na madira ,vinakalia mpaka chupa za bia kunako
Kabisa ,wachaga siku hizi wamekuja kuwa na mashep mpaka nimeshangaaHata wachaga tupo na tunazo shape balaa
Hapo sijajua bwashee ,labda ningejua maana ya line mbili umemanisha nini mkuuNi kweli pia kuhusu malalamiko ya kwamba pwani pisi nyingi ni laini mbili?
Mabadiliko ya tabia nchiKabisa ,wachaga siku hizi wamekuja kuwa na mshep ya mpaka nimeshangaa
Unakorogea sioPc za chuga pia zinavuta + miraa
🚮🚮🚮Aisee huu mji ni una warembo vibaya mno. Nipo hapa stendi ndogo jirani na Kimahama yaani shingo inataka kukatika sijui ni wa mkoa gani hawa mabinti wa Tanzania, warefu weupe/maji ya kunde ngozi nzuri,African figure aloo unaweza kuuza ukoo. Jamani wanadaslama huko nitarudi in two weeks, sirudi mapema huko kunaboa!
Shisha mpk sisi wambaga maji matitu tunavuta😂Tatizo wanavuta bange na shisha😀
Weka pichaHata wachaga tupo na tunazo shape balaa
Voda na TIGO/YASHapo sijajua bwashee ,labda ningejua maana ya line mbili umemanisha nini mkuu
hahahaUnakorogea sio
😀😀 mnatoa moshi kama magenerator bovuShisha mpk sisi wambaga maji matitu tunavuta😂
Ara haijawahi kutoa vitu vibovu 😅
Unakutana na mdada ana sura ya malaika lkn tabia za shetan😂😀😀 mnatoa moshi kama magenerator bovu