Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,599
- 95,279
Huyu kaanza kulewa 😹😹niliogopa kulisema hili 😅
Kuna mnyaki gani mfupi? Mngoni au mkinga? Wasafwa je?
Huyu kaanza kulewa 😹😹niliogopa kulisema hili 😅
Sijawahi kuwa na uadui na mtoto mzuri kama wewe. Fungua PM basi.Wewe ni adui yangu lazima uponde so lamba Joker, stop! Kadi tatu 😹😹
Uzuri wa rangi nyeupe labda Ila shepu hamna kitu 😹😹Karibia majiji ya nchi hii nimetembeleamo,, arusha inao watoto wazuri, kati ya wanawake 10 basi 6-8 ni wakali wa kugeuza shingo. Ila mikoa mingine utapata 1 -3 basi hayo ya shape ni mengineyo
Hapana sio sukari sema umeanza kulewa 😹😹😹😅😅😅sukari yangu imepanda
Ndio mimi. Nialikeni nyie watz niwatoe CCM Madarakani kama ninavyofanya Congo nikiwa na M23.Jina la Id Yako Huwa linanionyesha na kukumbuka kamanda nanga'aa
MWANAUME WA KAZIIII
🤣Huyu kaanza kulewa 😹😹
Kuna mnyaki gani mfupi? Mngoni au mkinga? Wasafwa je?.
Pm ndo nini? 😹Sijawahi kuwa na uadui na mtoto mzuri kama wewe. Fungua PM basi.
Paul Makonda Baba Keagan zee la kupandikiziwa mtoto wa kichina.Pm ndo nini? 😹
Kapeace pombe za weekend hizo, zikiisha atakuja hapa kukana maneno yake 😹😹😹🤣
Tuseme tu chuma za kusini ni wife material 😅Huyu kaanza kulewa 😹😹
Kuna mnyaki gani mfupi? Mngoni au mkinga? Wasafwa je?
Huyo ndio mjanja sasa 🤣Kapeace pombe za weekend hizo, zikiisha atakuja hapa kukana maneno yake 😹😹😹
😹😹😹 Mbona umesahau a.k.a yake maarufuPaul Makonda Baba Keagan zee la kupandikiziwa mtoto wa kichina.
Kwa nchi hii nakuhakikishia hiyo kanda inaongoza kwa wanawake wazuri,, jaribu kufatilia hata hapa dar watoto wanaosumbua mitaa ni kina naniUzuri wa rangi nyeupe labda Ila shepu hamna kitu 😹😹
Halafu wachaga mbona wafupi..!!
Labda wale wa Arusha wenyewe wamasai ndio wazuri..!!
Ndo wanitumie hela nilewe zaidi niwasifie pombe zikiisha watajuta nitakavyowageukaHapana sio sukari sema umeanza kulewa 😹😹😹
Kwahiyo dada zako sio wife material?Tuseme tu chuma za kusini ni wife material 😅
Hapa tunaongelea muonekano lwa ujumla,, mtoa mada yupo sahihi,, ni mkoa ambao una wanawke wazuri wengi sio mikoa mingine unakuta pisi kali ipo moja hiyo hiyo inagombewa na kila mtu,,Tuseme tu chuma za kusini ni wife material 😅
Subiri pombe ziishe akianza kutapika nitakutag 😹😹Huyo ndio mjanja sasa 🤣
Umepata bwana mchaga? 😹😹Kwa nchi hii nakuhakikishia hiyo kanda inaongoza kwa wanawake wazuri,, jaribu kufatilia hata hapa dar watoto wanaosumbua mitaa ni kina nani
Uzuri wa mwanamke sio matako makubwa ingekuwa hivyo mbeya ingeshika namba,,halafu vilevile wapo wachaga wana makalio kama beseni
Wana rangi, ngozi nzuri, nywele, ule muonekano wa kike, inaweza isiwe umbo kubwa lakini ile mikato ya kike vihips tako kidogo nk vipo hicho ndicho kinawapa namba,