Una kifua nikupe na ushahidi?Fala wee 😹😹
Hakuna mkinga anayegawa hovyo hovyo Mxieeeeww 🤣
Pisi kama hii huwezi ikuta uhayani au kwa jirani zake musoma na mwanzaView attachment 3476018
Nimeingia salon moja hapa inaitwa sky ipo hapa tigoshop kimahama nikakutana na hii chuma ya huko singida mnaobisha leteni ushahidi kwamba chuga inazidiwa na wapi
Kwendraa zako hakuna mkinga mwenye vitraco vigumu, sema umeamua kupondea tu..!! 😹😹😹Alafu huyo mwenye kitako kigumu kama kitako cha bunduki ni mkinga mwenzio🤣
Sijawahi vutiwa na mrangi, naogopa kupigwa juju nikawa zoba/fala.Uongo dar wanasumbua warangi na yote sababu wagawaji sana 😹😹😹
😹😹😹 Wanyaki wapo Bush tukuyu ila wazuri unahisi km upo JobergAkikutana na wahaya au wanyaki wapambanaji hatowaangalia mara mbili,,, mwanamke wa kichaga anapambana na bado anavutia we huogopi
Jirani sina vita na kabila lolote lile ila huyo ni mkinga.Kwendraa zako hakuna mkinga mwenye vitraco vigumu, sema umeamua kupondea tu..!! 😹😹😹
Kwanza mkinga unamkutia wapi mpk akupe chiu?
Moja moja sanaKuna pisi za kimasai ni kali balaa zina kila kitu mjuba.
😹😹😹 Huu sasa uongoNmecheka kwsbb nilishawahi pishana na mmoja kwenye coridor ya bas nikagusana na makalio yake magumu kama kokoto...nkamuuliza umebeba maboga? Akanuna then Wakaanza kunisema kinyakyusa...nikacheka sana
Hivi Musoma kunakuwaga na Wasichana na Wanawake? As in imekaa kama vile ni Mkoa tengefu kwa Wanaume peke yakePisi kama hii huwezi ikuta uhayani au kwa jirani zake musoma na mwanza
Zilizoelimika, kuna mmoja nilimuona mwaka jana ni mwanachuo ni mkali kinoma alafu very simple Ke.Moja moja sana
Wapo ila ndo hao jike dumeHivi Musoma kunakuwaga na Wasichana na Wanawake? As in imekaa kama vile ni Mkoa tengefu kwa Wanaume peke yake
Kwenye michongo ya pesa wako vizuri, ni wapiga kazi haswaa..!!
Pisi za huko nazo ni hot ila ngoja nisiendelee najua Lamomy atamalizia nilichotaka kusema.Hivi Musoma kunakuwaga na Wasichana na Wanawake? As in imekaa kama vile ni Mkoa tengefu kwa Wanaume peke yake
😹😹😹 pua za solo ndo zipi hizo??Sasa mmanga sio mkusini pure jirani zako hapana kwakweli na pua zao za solo nehiiiii nimekataa hata uniue
Naanza kufoli in love naoKwenye michongo ya pesa wako vizuri, ni wapiga kazi haswaa..!!
Hata mkipanga mipango ina tick fresh, mimi marafiki zangu wa kibiashara wengi wachaga.
Zimechambuka kama uwanja😹😹😹 pua za solo ndo zipi hizo??
Kina sepenga si ndo pisi classic zinazotokea singidani..!! Ndo warangi hao.Labda dar ya vilabu vya pombe za kienyeji ila sehemu classic lazima utakuta pisi za chuga moshi manyara singida ndo zinakimbiza
Lete hapa mambo kwa ushahidi 😹😹Una kifua nikupe na ushahidi?
Mimi nna nyota na wa ukanda huo sana sijui ni kwa sababu ya urefu. Sijawahi kuwa karibu na ke wa kanda hiyo alafu asinipende, kuna mwingine nampiga chenga nae wa huko anataka tukonect device sucessfully nae ana kishundu amaizing ila sijui kitakuwa kigumu pia 🤣