Shakara
Senior Member
- Aug 11, 2018
- 158
- 459
Kaskazini tunaserebuka mpaka tunaziacha. Siku ya kuvunja kamati tunamalizia.Hii ipo sana kusini huko kina Njombe na jirani zake. Ukiingia unaheshabiwa vinywaji 4
Kaskazini tunaserebuka mpaka tunaziacha. Siku ya kuvunja kamati tunamalizia.Hii ipo sana kusini huko kina Njombe na jirani zake. Ukiingia unaheshabiwa vinywaji 4
Naomba kadi🤣🤣Kuna inayokuja ni mwanakamati, nitahakikisha hata mia yangu haipotei.
Yaani na michango ilivyo mikubwa sasa, wanachezea tu hela zetu kijinga jinga tu!Bado tunasikitika chakula kidogo na bia hazikutosha mara tayari maharusi washaachana.....mi sichangii sherehe kwakweli niitwe tu kula ila mchango sitoi
Mchango wako tu tajiriNaomba kadi🤣🤣
Kwenu nyinyi waalikwa ila sisi wanakamati tunaotea vitambi hukoUje utuambie kuwa nyama ni tatu pekee na bia mwisho nne 😃
Kamati sio mchezo, kuchangisha sio jambo dogoAisee Mkuu mbona noma sana hiyo
Ndio ukija unakula sahani ya elfu3 na vinywaji vya afu 12Single 60k double 100k 😃
na ukumbi inatosha sioKama mchango ni 50k bora ukanunue kuku wako na makorokoro mengine upike mwenyewe nyumbani kwako
NdioNa hamruhusu kuingia na kinywaji 😃
Ndio utaratibuHuo ubabe sasa 😃
Akuuu unitue🤣🤣Mchango wako tu tajiri
Mnoo loHatari sana...