Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,121
- 114,154
Kuna inayokuja ni mwanakamati, nitahakikisha hata mia yangu haipotei.Wametuzoea vibaya sana na michango yetu.
Kuna inayokuja ni mwanakamati, nitahakikisha hata mia yangu haipotei.Wametuzoea vibaya sana na michango yetu.
Kila mtu akifanya kama wewe itakuaje? 😅Mbinu za kutokukosa msosi harusini au kwenye semina ni kuwahi mbelembele, wa mbelembele hufaidi mapande makubwa ya nyama. Utasikia wagawaji chakula wakiambiana punguzeni migao watu bado wengi. Hawa wanaokuwa wa mwishomwisho hupata kidogo kwa kuwa mgao umepunguzwa. Mi huwa nawafuata wazazi wa maharusi nyuma yao, kuwa wa mwisho ni kujitakia kukosa chakula
Bado tunasikitika chakula kidogo na bia hazikutosha mara tayari maharusi washaachana.....mi sichangii sherehe kwakweli niitwe tu kula ila mchango sitoiNa bado mlishwe sa 10 ya Alfajiri. Kwakweli mimi sichangii sherehe yoyote.
Tatizo kiasi kikubwa cha michango kinaenda kwenye mapambo, ukumbi, mc na mazagazaga mengine ambayo hayana maana. Watu wanahitaji chakula na vinywaji tu, hivyo ndo vitu muhimuBado tunasikitika chakula kidogo na bia hazikutosha mara tayari maharusi washaachana.....mi sichangii sherehe kwakweli niitwe tu kula ila mchango sitoi
Kabisa raha ya sherehe tuleee tunywee hadi tuzikimbie, mapambo hayana ishu kwanza hata tukikaa kwenye mabenchi sawa tu.Tatizo kiasi kikubwa cha michango kinaenda kwenye mapambo, ukumbi, mc na mazagazaga mengine ambayo hayana maana. Watu wanahitaji chakula na vinywaji tu, hivyo ndo vitu muhimu
Hatari sana...
Bila kusahau muziki, tukishalewa tuserebukeKabisa raha ya sherehe tuleee tunywee hadi tuzikimbie, mapambo hayana ishu kwanza hata tukikaa kwenye mabenchi sawa tu.
Wale wakuhesabiwa vinywaji, tujuane.
Ila mi nipo tofauti sipendagi sherehe, yani sipendi hayo masham sham naonaga naboreka tu.... Hadi niwe na mood sana au mtu nnaempenda sana ndo ntajitahidi nifike ila hivi hivi sipendi siendiBila kusahau muziki, tukishalewa tuserebuke
Kama hunywi pombe means soda 4, simalizi soda 4 jamani😀Hii ipo sana kusini huko kina Njombe na jirani zake. Ukiingia unaheshabiwa vinywaji 4
Mie sipendi pilika pilika. Niende nikakae ninywe nile niondoke. Nione watu wakiserebuka ndo furaha yanguIla mi nipo tofauti sipendagi sherehe, yani sipendi hayo masham sham naonaga naboreka tu.... Hadi niwe na mood sana au mtu nnaempenda sana ndo ntajitahidi nifike ila hivi hivi sipendi siendi
Ndio unapewa soda 4 sema uzuri huwa wanaruhusu kubeba unaondoka nazo kwenda nyumbaniKama hunywi pombe means soda 4, simalizi soda 4 jamani😀
Chupa inakuaje?Ndio unapewa soda 4 sema uzuri huwa wanaruhusu kubeba unaondoka nazo kwenda nyumbani
ZInakuwa zile takeaway. Bia ndio za chupa lazima umalize ukumbini, ni utaratibu wa kipuuzi mno yaaniChupa inakuaje?
Sijawahi kukutana na utaratibu wa hivyo😀😀ZInakuwa zile takeaway. Bia ndio za chupa lazima umalize ukumbini, ni utaratibu wa kipuuzi mno yaani
Upo mikoa ya Njombe hukoSijawahi kukutana na utaratibu wa hivyo😀😀