Zanzibar raha, Mchango wa Harusi ni Elfu tano tu, Bara sirudi

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,068
Reaction score
64,230
Yaani ukiwa Zanzibar, Harusi ni nje nje, utake wewe kuoa..

Hata rafiki yako akioa, anataka mchango wa Elfu tano(elfu moja moja tano).. Kama utatoa ziada ni hiari yako.

Lakini huko bara mchango eti laki moja.. Gharama ya mbuzi mzima halafu muda wa msosi unaambulia paja la kuku, ubwabwa na kipande cha tikitimaji.

Uzuri wa huku hata kuoa sio tabu.. Huna mahari basi toa kitabu cha Mwenyezi Mungu..

Mwenzenu nishatoa Mchango wa Harusi, mkusanya michango kaja mwili mzima kapaka hina, kaniletea na zawadi ya nyama..

Na siku ya harusi ishafika.. kazi ninayo.. Jasho litanitiririkka usiku kucha..

Naona siku haifiki. Mwanamke kapaka hina kiunoni shanga.. Utampenda

Salaam aleikum😍
WA_1780925627473.jpeg
 
View attachment 3603662

Hamii lete halua na urojo hamii
 
Back
Top Bottom