Gharama za michango ya harusi na sintofahamu ya chakula

Gharama za michango ya harusi na sintofahamu ya chakula

Uzi wa wasiokula mitungi huu

Mkifungua wa kuhusu vinywaji mnistue.

Sherehe isiyo na urabu sichangii.
 
K
Roho yako haina hadhi ya kuchangia harusi kiuhalisia, una uroho. Unasaidia mtu ili ufaidike wewe.

Kuna harusi za jamaa na ndugu zetu wa mbali tunachangia na tunashindwa kwenda, je nazo tuombe delivery ya chakula. Harusi ya mwisho nilochangia last month hata sijui imefanyika mkoa gani.

Badala ya kuchanga hiyo 50k wewe nunua kuku ule maana inaonekana kuku ni vitu vya kukugombanisha na watu.

Watu wanajua umechanga kwa upendo kumbe unategeshea ubebe mfuko wa Rambo ukaponee kuku nyumbani.
Kwanini na wao wasiruhusu watu wapakue chakula kwa upendo, kwanini uweke limit ya 🍺 kama watu wanataka kutandika maji?!
Au uweke watu wa kufanya food serving wakati wote tunaweza kupakua? 😃 😀 😄
 
Utaambiwa bia 🍺 mwisho ni nne pekee 😃 na umetoa 50k
Hiyo sekta itengwe mkuu, wanajua waleci sio watu wa kupangiwa.
Sherehe nyingi za viraji nilizohudhuria hupangiwi unywe ngapi, ikitoka moja zinaletwa mbili chap.
 
Mimi ndio maana nilifanyia harusi yangu kijijini kwa Wazee mana nilijua watu wa kijijini kuwapeleka Ukumbini mmmm kasheshe
Sherehe za vijijini ndo unyama
Yaani ng'ombe zinachinjwa mnakula nyama mpaka siku ya 3
 
Harusi ni sherehe ya kitoto sana mambo ni yaleyale miaka nenda rudi

  • Karibuni wageni waalikwa
  • Sasa ni wakati wa kuwapokea mahurusi
  • Wakisindikizwa na maids na wasimamizi wao
  • Sasa ni wakati wa busta
  • Vinywaji
  • Ukitaka kujiweka sawa kidogo wanaume upande ule wanawake upande huu
  • Muziki
  • Utambulisho
  • Nasaha
  • Chakula
  • Zawadi
  • Muziki
  • Maharusi wetu wakapumzike/wakatombane
🚮 🚮 🚮
 
Mimi ndio maana nilifanyia harusi yangu kijijini kwa Wazee mana nilijua watu wa kijijini kuwapeleka Ukumbini mmmm kasheshe
Sherehe za vijijini ndo unyama
Yaani ng'ombe zinachinjwa mnakula nyama mpaka siku ya 3
Kabsa 😊 Ukerewe huko watu mnakula Nyama mpaka unaziacha ila huku town unaambiwa nyama tatu halafu nimetoa 50k
 
Harusi ni sherehe ya kitoto sana mambo ni yaleyale

  • Karibuni wageni waalikwa
  • Sasa ni wakati wa kuwapokea mahurusi
  • Wakisindikizwa na maids na wasimamizi wao
  • Sasa ni wakati wa busta
  • Vinywaji
  • Ukitaka kujiweka sawa kidogo wanaume upande ule wanawake upande huu
  • Muziki
  • Utambulisho
  • Risala
  • Chakula
  • Zawadi
  • Muziki
  • Maharusi wetu wakapumzike/wakatombane
🚮 🚮 🚮
Umeongea kwa uchungu sana Mkuu 😃 😀 😄 Kurombana kumetokea wapi
 
Baada ya sherehe wanasemaga maharusi wanaenda hotel fulani fungate au honeymoon. Huko ni kutombana tu mwanzo mwisho
Umefanya nimecheka kwa nguvu sana 😃 Ila kweli Honeymoon ni kuichapa haswa
 
misosi ya karamuni ina vibe lake mjuba, ya kujilia home haina vibe
Nakupa mbinu nenda kwenye sherehe angalia wale wanaopika, mvute mmoja wapo pembeni mwambie siku fulani nataka uje unipikie nitakulipa.
Hawezi kataa.
Hii kazi mimi niliwahi kuifanya
 
Raha ya sherehe ya harusi, kuwepo na watu watakao kosa nyama/kuku na kachumbari!
Halafu yaani uchangie 50k uachiwe ujipakulie mwenyewe? Hapo ujue kuna gharama nyingine, kama ukumbi, mapambo, muziki, mc, picha, usafiri, vinywaji, n.k!
Kama hujafanya hii shughuli, subiri muda wako ukifika ukihitaji kufanya utaona kichwa kitakavyopata moto kama itakuwa unategemea michango ya watu, unless usichangishe kabisa!
Dah! Nakumbuka nikiwa na 15yrs, kulikuwa harusi moja jirani na nyumbani, nilihusika katika kila shughuli kupamba ukumbi,kusaidia kwa wapishi,kupanga viti na mengine mengi. Ahsubuhi chai ilipita kooni fresh kabisa, lakini sasa ajabu mchana nikawa mkusanya vyombo. Wakati watu wanamaliza kula, wenye kazi yetu tukawa tunagawiwa chakula, bahati mbaya mboga zikaisha kabla sijafika. Nilivyofika kupewa wali mkavu nilisusa huku machozi yakinilenga. SITOSAHAU
 
Back
Top Bottom