Get Well Soon Kipipi

Get Well Soon Kipipi

Asanteni sana wapendwa kwa faraja na maombi yenu.
Leo kwakweli nimeamka vizuri walau kamwili kana nguvu.
Bless upon you all dears.
 
Pole sana mtegemewa wangu (nilikupenda uka Erickb52 akakuwahi
Pole sana Kipipi ugua pole na mimi naumwa kwa kuumwa kwako
 
Last edited by a moderator:
Asanteni sana wapendwa kwa faraja na maombi yenu.
Leo kwakweli nimeamka vizuri walau kamwili kana nguvu.
Bless upon you all dears.
Ooooh
afadhali upone namimi nitapona.
 
Babu Asprin subiri kwanza apone maana ukaguzi kwa sasa haufai.
Labda umkague Asnam yeye hajagauliwa na anasema bado mbiiiiichi kabisa

mi tayari nimekaguliwa sekta zote hiyo ya ubichi iliwekwa kwenye makumbusho ya taifa ya chit chat hadi further notice.
 
Naaam! Niende wapi miye! Halaafu kwa taarifa yenu, yaani nasema kwa taarifa yenu, Asnam chai
ya Asubuhi ya jana kainywea kwangu...............Mtoto yule alivyo mchimvi!! nyie hangaikeni tu



Shemeji yangu Madame B ndiye kasababisha yoote, ile miti miwili ya kipago kama gogo la sufi
nikazama kichwa kizima, ile kuibuka tu jicho moja alijojo na mdomo umeumuka. Ukitaka raha lazima pate tabu ati!
Kumbe toto lenyewe lishakaguliwa kitaamboooo!

Halafu ndiyo wikend inaishia hivyoo...........!

nakutazama tu unavyoruka sarakasi zako,siku ukipewa kichapo heavy sitajitikisa kukutetea ww.
 
heeee
kijana umerudi?
Lol ling time aiseee
Huyo Asnam labda wa kuchora
ujue mi namuangalia tu nione mwisho wake.............................hajui nimesomea karate nikimpiga ngumi moja ya kibeijing sitaki lawama zimfikie Baba V
 
Last edited by a moderator:
nakutazama tu unavyoruka sarakasi zako,siku ukipewa kichapo heavy sitajitikisa kukutetea ww.

Vipi ile gemu ya jana..............Mtoto una style matata, eti inaitwa "Blackberry"
 
Vipi ile gemu ya jana..............Mtoto una style matata, eti inaitwa "Blackberry"

unatafuta ban ww...........................mi ni shabiki wa Yanga sijui hiyo blackberry ndo vidudu gani....nakuona unavyotamani hata siku moja usikie nimekumiss lakini wapiiiiii loh badili mwelekeo :heh:
 
Back
Top Bottom