Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Ikiwa moja mnara haukamati au?!!Mi nichague nini?
Nimeshawachagua...mi ni simu ya kichina....kitu line mbili Lazma
Teh teh
Natania mwaya
Unapeti peti sio ee....
Ikiwa moja mnara haukamati au?!!Mi nichague nini?
Nimeshawachagua...mi ni simu ya kichina....kitu line mbili Lazma
Teh teh
Natania mwaya
Okei..
Hommie, kikombe alichonipa baba sitakinywa au mpaka pazia la hekalu lipasuke katikati ili yatimie?
Mwanaume kwa kubembeleza wew..
Mpaka unipe naniliuuu...............!!
Hahahahahaaaaaaaaaaaa........Usijali njoo tu hapa na nimeshakuagizia ukipendacho plus kifanyio nishakisimamisha.
Copy kwa The secretary
MmmmmmmmmmmmmmhAcha maneno mingi hebu twende PM tukapange tarehe. Mi viswahili vishanshindaga ujuage.
sijambo hus. nmefurahi kukuona, karibu sana. mianipo. haujambo?