Niko poa mkuu....baridi tu ndio noma huku
Hahahahaaa kwanza nakushtakia kwa ummu kulthum kuwa unamtaka Asnam
Nyie tu ndiyo mnahangaika..............Mtetea hategwi kwa nyama kilo kumi, punje tu umemaliza habari yake!
Anakuchonganisha na mkeo aisee
We relux dada yangu
Huku poa...barido km kawa.
Yan km tuko Ulaya aisee
ameponaaaaaa
yan kwa sasa ni rahaaa
kwani umechomolewa
kipumulio?
Sema taratibu utaniharibia ujue nimekula vya manoah akijua hili ataniambia nilipe wakati si kweli mimi niko single
:heh::heh::heh::heh::heh::heh:..............
:heh::heh::heh::yell::yell::yell:
mambo vipi Passion Lady? namtambulisha kwako Kipipi kwa mara nyingine tena. mia