Get Well Soon Kipipi

Get Well Soon Kipipi

We twiga umevurugwa eeh..!!! ngoja nilonge na ummu kulthum tukurekebishe akili ikukae sawe, kufungwa mbili tu ndo umechanganyikiwa hivyo!?
Copy: watu8
ummu kulthum mtoto decent hana mawaa wala mawio. Ametulia tuli, na asubuhi hii kanitayarishia maji ya kuoga
ndani kumetiwa iliki na mdalasini, sasa pata picha chai itakuwaje.

Jana usiku ile narudi home nikakuta dinner, samaki jodari wa kutokoswa pembeni kuna chachandu kule kuna wali wa
nazi za Korogwe..............Halafu ananiuliza huku kavaa khanga imelowa maji na pua kabana "Honey unanianza mimi
au chakula...................utamalizia mwenyewe nilianza nini!!

Wewe Baba V umezeeka, huna chako ndiyo maana mabinti wanakuchezea sharubu, huna chako tuache wenye
meno thelathini na bee tujilie vyetu siye!!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaa kwanza nakushtakia kwa ummu kulthum kuwa unamtaka Asnam
 
Last edited by a moderator:
Huyu njegele platozoom kazoea walevi wenzie wa chibuku ambao akiwanunulia kongoro wanamuona mfalme...., kakosea njia hapo, imeiangalia kwa wasiwasi tisa akadhani sita.... kabaaang kabisa huyu...

Nyie tu ndiyo mnahangaika..............Mtetea hategwi kwa nyama kilo kumi, punje tu umemaliza habari yake!
 
Unazungumzia kongoro? mbona hata bagia anapenda sana. Nyie tu ndo mnababaika, badala ya
kumtega swala kwa nyasi mnampa nyama kilo kumi! ha ha ha
Si tunakushangaa wewe unayehangaika na swaga za kuhonga....siku hizi mambo ni makubaliano tu.
Hingo ni km nyongeza
 
You know him now.........
Mi mbona kama sijaelewa Uncle? Kwanza kabisa Shkamoo, pokea chai.
hot-tea1.jpg
 
Back
Top Bottom