Mmmmmmmmmmmmmmh
Kazi ipo
Hivi unatafuta nini Asprin ?Kwa hiyo ndo kama tulivokubaliana au ushageuka? Siuelewi huu mshangao wako ujue? Au ndo kama ulivosema utakuja kuzuga wasishtuke? You are genius.... Soma upesi hii post kabla sijaidiliti manake wanaa wakiisoma watatustukia.
HahahaaaMi staki kucheza tena na wewe. Una mikono michafu kama Paulo. Btw umenionea wapi cacico? Mwambi nimemmisi kama nlivoimisi keki ya harusi yetu
Weraweraaaaaa..... Yule dogo platozoom ubishi wake ulimponza alienda kukagua visivyokagulika matokeo yake kaibuka na kansa ya mdomo. Toto bishi sana lile. Linakula bila kunawa wakati vijiko vipo.
heeeeNaaam! Niende wapi miye! Halaafu kwa taarifa yenu, yaani nasema kwa taarifa yenu, Asnam chai
ya Asubuhi ya jana kainywea kwangu...............Mtoto yule alivyo mchimvi!! nyie hangaikeni tu
Shemeji yangu Madame B ndiye kasababisha yoote, ile miti miwili ya kipago kama gogo la sufi
nikazama kichwa kizima, ile kuibuka tu jicho moja alijojo na mdomo umeumuka. Ukitaka raha lazima pate tabu ati!
Kumbe toto lenyewe lishakaguliwa kitaamboooo!
Halafu ndiyo wikend inaishia hivyoo...........!
safii simba kapakatwa
au abadili hilo la zinjathrop....!!Hahahaaaaaa
Atupe training