platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,539
unatafuta ban ww...........................mi ni shabiki wa Yanga sijui hiyo blackberry ndo vidudu gani....nakuona unavyotamani hata siku moja usikie nimekumiss lakini wapiiiiii loh badili mwelekeo :heh:
Unanikana hadharani? Agiza kongoro hapo kwa mangi jirani nakuja kulipa.
Mtoto mashallah