Get Well Soon Kipipi

Get Well Soon Kipipi

well_soon.gif
 
Hommie naomba mwongozo wako. Hapa Kipipi anafanya gani? Waeza mwambie akam zis wei agonjweke na ODM?

Babu Asprin subiri kwanza apone maana ukaguzi kwa sasa haufai.
Labda umkague Asnam yeye hajagauliwa na anasema bado mbiiiiichi kabisa
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 haya mambo ya ukewenza me siyawezi yatanishinda kwakweli uchague mbivu au mbichi.
 
Last edited by a moderator:
Hommie naomba mwongozo wako. Hapa Kipipi anafanya gani? Waeza mwambie akam zis wei agonjweke na ODM?

Kipipi.unamruhusu ODM aje mgonjeke wote? yeye dushelele lake limeteguka anasema linahitaji massage kwa mapendekezo ya madaktari bingwa. Asprin ujumbe umefika.naona. mwache mtumishi wako aende kwa amani
 
Last edited by a moderator:
Naskia Kaizer ndiye alipewa mchongo wa kumsafisha huyu binti tumbo baada ya babu Asprin kutoweka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom