Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,845
- 5,077
UZI WA KIJOBLESS
Daah, HUYU MDINGI??!!
Asalaam Aleykum wapendwa, Tumsifu Yesu Kristo
Wakubwa zangu shikamooni, wadogo marahaba zenu, vijana wenzangu mambo vipi??😂😂
Acha niwape kastory mie, nishamaliza kuwasalimia
Tushuke nayo, waambie ni kaka Bumunda tena
Miaka ya zamani zamani kidogo
👉Napokea simu moja hivi, niko zangu huko Ubaruku- Mbarali Mbeya.
Ni jioni moja, mtu anayenipigia anazungumza kizungu, anaonekana anakijua, nasema sio kesi, ni kizungu anataka acha tubonge
Tukabonga sana ngeli nyingi pale na nini, sikuwaangusha😂
Alichokuwa ananiambia ni kwamba, natakiwa kwenye interview keshokutwa yake, najaribu kumueleza nipo Mbarali kuna matatizo, ila anasema
"Watu tuliowaita wafanye hii interview, ni watu wakubwa, kuwaita tena kwa sababu za kwamba mtu hayupo itakuwa taabu" -kwa kizungu
Please kuwepo
👉Ipo hivi ninyi vilaza😂
Zamani pale Kilima, walitafutwa wafanyakazi kabla hata hamjamaliza shule, yaani anakuja mwajiri lets say mtu anashule, anatafuta walimu, basi anapita kila department anatafuta zake cream😂
Hizi story za kufundisha hii shule mi nilizipata kipindi nipo
second semister mwaka wa pili
Unataka kujua why??mi nnazo akili nyingi, timamu tena😂😂
Kausheni wanetu, ni nini??😂😂
Okey sikuwa hata na nauli, kilichonipeleka Mbarali, ni matatizo, makubwa tu tena, ntawaeleza siku nyingine kuyahusu.
Unajua kila mtu anakuwaga na guardian
angel wake, kwangu mimi ni blaza wangu mmoja kaniachia ziwa
Ile simu moja tu kwake...mambo ni fresh kama Fid Q, achana na ile remix ya kisoro alifanya na akina eiyoo laizaa😂😂😂
Basi bro akanitia kama shing themanini flan, nikaaga nikasepa zangu mimi next morning
Kutoka Ubaruku nilipokuwa mpaka Igawa...hapa ni ambapo unasubiri gari kutoka Mbeya town
Nikadaka Rungwe moja, safari ya kuja mjini Daslama ikaanza wanetu
Nikafika Daslam, Mbezi sio bichi wewe, Mbezi kimara nikautua,nikasepa maghetoni, nikaoga nikapumzika, nikipanga zangu akili
kwa ajili ya interview kesho
Mnapajua Peacock Hotel ninyi mabumunda??eenh Kawe kule, huku ndipo intavyu inafanyikia
Sio pikoku hapo hotel, karibu na hapo sasa😂
Basi nafika pale mapema kama mlinzi😂😂niko tu sawa, nakuta kunae maraia wamewahi kuliko mimi unaambiwa, njaa hizi
Tukamaliza intavyuu, tuliokula shavu tukala, waliochezea mbavu wakachezea, ikaisha
Basi tukaambiwa turudi kesho yake, tusaini mikataba na nini, kesho tukarudi.
Kweli tukasign mikataba...tukatiwa na kitu kama sh mia sita na ushee, kitu kinaitwa 'padiemu' kama hukijui sina cha kukusaidia bumunda😂😂
Tukajiandaa na safari kwenda mojawapo ya mikoa ya kusini mwa hii nchi...huku ndo kulikuwa na hii kazi
Haya sasa, mnamkumbuka yule mzee alinipigia simu, nikawaambia anaongea kizungu flan poa sana??
Huyu ndo alikuwa mkuu wetu wa kituo, so tulikuwa naye Tukafika hizo masehemu, maisha yakaanza bana taratibu kabisa
Huyu mdingi alikuwa raia wa nchi moja humu barani Afrika, mzee flan smart sana...anajua mambo mengi kwa upana wake, nilikuwa namkubali sana
Akawa rafiki yangu mkubwa sana, sana...kama hivo wanetu
Kuna hii siku tunapiga naye story akaniambia
"Funjo kwenye hii dunia dont u ever date the following, a junior at your work place, your friend's dota" walikuwa watatu...huyu mwingine nimesahau
Nikamsikiliza, namuuliza why??akasema "hayo hayatakuwa mapenzi, u will be taking advantage kwa situations"
Nikajifanya nimemuelewa pale na nini, tukaendelea na story nyingine
😂😂😂😂unajua kwann aisee nilijifanya kumuelewa??
Kila siku huyu mzee anatupigia story ofisini kwamba anaye mabinti wazuri kinyama na si muda mrefu wangekuja kumsalimia
Nadhani wajuba mnanielewa nini nasema hapa😂😂😂
Ninyi mngemuelewa na ushauri wake wa kisoro??
Basi bana siku zikapita, tunaendelea na kazi kama kawaida na nini?
Kuna hii siku bana
Tupo ofisini tunaendelea na kazi...miksa mastory mawili matatu na nini...
Mara mzee akaja bana
Kama mkuu wa kituo alikuwa anatumia Hilux flan kama la Mrusi lile
Akaja, anatoka town...yuko pamoja na mabinti wawili...mmoja wa kawaida...mwingine wa moto sana wahuni
Aiiiiii, watoto wamekula shungi hizo wako tu faini ani
Baba yao anawaambia "come say hello to these guys"
Huyu nawaambia ni pisi, imagine kwenye shungi lake...lakini bado uafrika unaonekana wazi kama mbuzi anatoa karanga
Wakaja wakasalimia, wakasepa
Oya eenh....mi nilimpenda mmoja pale siku hiyo hiyo😂😂😂kwani nilizingua wahuni??
Basi wakawa wamesepa,nikawa nimeona cha kuona mimi
👉Ilikuwa hivi ofisini kulikuwa na chai...ila since mabinti zake wamekuja...walikuwa wanamletea chai huyu mzee ofisini
Kwahyo karibia kila siku walikuwa wanakuja
Kwahyo karibia kila siku nilikuwa namuona yule binti mzuri wa yule mzee, kila siku
Competition ikaanza pale ofisini
Wahuni tulikuwa wengi, na kila mtu anataka ile pisi...ile ya moto
Watu hawamuogopi mkuu wa kituo wala nini, wanataka kula good good...wahuni sio watu poa unaambiwa
Basi vurugu zikaanza bana...watu wanahangaika, wakimaliza kumpa chai mshua wao....walikuwa wanakuja ofisini
Ile kupiga piga story na nini...baadae ndo wanaondoka sasa
Basi wakija wahuni wanajiongelesha weeh...dooh...nikasema mimi ntakuwa kivingine
Kwahyo wakija hawa mabinti, mi nauchubua mbaya, siongei na mtu sisemi kitu
Wa mbuzi tu ile kizee baba
Mungu saidia hii kitu huwa inasaidia
Unajua ile mabinti hawa wakawa wanajiuliza like...mbona huyu 'mkaka' haongei na nini?
Hii pisi kali kuna siku ikaja pale na kizungu chake 'kwanini huongeagi, ama hupendi tukija hapa'
Mi namcheki namuambia 'kuwa makini utatombwa' 😂😂😂
Natabasamu anatabasamu
SASA BANA
Kuna hii siku, machine ya photocopy hapo ofisini ilikuwa na matatizo...na kuna vitu vya msingi vilitakiwa kufanywa copy
So ikabidi twende ofisi moja town tukafanye hiyo kazi
Kwasababu nilienda mimi...ilibidi ntumie ile hilux ya mkuu
Kabla sijaondoka nikaitwa "Funjo please, help me take my dota to the market, then come with her when u done photocopying"
Now u guys guess ni binti gani alikuwa anatajwa hapa😂😂😂ile pisi kali wanetu
Basi akaja..tukasepa, kwenye gari naongea tu na dereva, binti kakaa kimya anabonya bonya simu
Tukamuacha sokoni...kwa maelezo kwamba akimaliza amuite dereva...aje nilipo tukimaliza ndo turudi home
Basi mi niko busy na-supervice watu watoe copy...dereva ananiambia kamaliza...nikamwambia umfuate
Basi binti akaja na kapu lake, hana wa kuongea naye pale...option yake ni mim Akaja "sorry its boring here, please be my kampani"
Acted gently pale like "u real dont have to ask for that, because i needed your kampani too"
Mtoto anatabasamu tabasamu pale,well, tukakaa zetu tukapiga mastory mengi sana
Zile za 'natakaga sana kuongea na wewe ila ndo hivo ukogo serious sana na nini'
Basi mi naona kama mtoto huyu anajaaje rahisi namna hii
Tukamaliza kazi bana, tukaondoka kurudi zetu kituoni
😂😂😂😂kitu kimoja hapa kilitukia
Kwenye ile ofisi tulifanyia kazi...kulikuwa na daftari la wageni, ile unaandika namba na jina😂😂
Kipindi nasign-out
Nikaona jina la huyu binti...kucheki, kumbe akawa kaandika na namba ya simu, nikachukua namba nikasave 'bibie'
Nikawa nasubiri ifike jioni...nimalize kazi niongee na bibie, mna get??
Makosa makubwa, tunafika tu kituoni, tukamshusha akaenda kwao
Kidogo, text "Good afternoon handsome"
Kucheki namba...ni ile nimei-save bibie...nashangaa nani huyu tena...nakumbuka baadae kwamba ni ile pisi... lote lilisimama manina zangu
Natype ile za 'how re u mama, where did u get my digits'
Text nyingine
"Im sorry i took your nambaz there at that office, i hope u r not mad at what i did, please Funjo, i need u here in my life, and i need u now"
Well nikapunguza speed...nikasema kama yeye anaongea...basi nimuache aongee
Naomba baadae baadae jioni kama hutojali tutembee kidogo..i need to talk to you
Basi ikawa poa
Jioni ikabidi nipande bajaj, apande bajaj ili tukatembee huko nje ya mji...pale maeneo ya ofisini ingekuwa jau...watu wananifahamu na wanamfahamu baba yake
Tukafika...tukazurula kweli...piga sana story nyingi...binti anaonekana kama ana matatizo hivi...as in hayuko sawa psychologically, namuuliza whats wrong anasema usijali utajua
Then the qn came "Funjo are u my friend??"
Mlitaka nimwambie ntamfikiria??mbwa wakubwa ninyi
I was like 'u were my friend tangu siku ya kwanza nimekuona'
Akaleta za 'really??'
Nikasema YES
Sijui ilikuwaje mpaka tuka-kiss...ila we did that shit...mtoto analips kama kafanya surgery huyu...laini kama konokono unaambiwa...kula mate mengi sana siku hiyo
Nakumbuka sikunywa maji siku tatu kama ngamia😂😂😂
Basi ikawa hivo bana...mtoto kama tuna-date kama tunaacha Tunaongea sana kwa simu, tunachat almost muda wote, tukawa tumekubaliana ka kitu...tukiwa maeneo ya kazini kila mtu apige mbanga zake...tujitahidi kubalance shobo yaani...ikawa poa
Kuna hii siku naongea naye usiku ananiambia
"Dad is not going to be home starting from kesho"
Anakwenda Dar kuna kikao kitu kama week hivi, i was like okey...she told me "this is good news yeah??"
Mi niko 'nzuri sana'😂😂😂
Kweli bana asubuhi yake Mkuh anaaga...ooh sitokuwepo na nini
Niko najisemea kimoyo moyo...najua😂😂
Akasepa bana
Jioni jioni ka text
"Funjo, dinner at our place?? u in??"
Im in...that was it...nikasepa zangu jioni jioni mpaka kwa Mkuu...ennh nyumbani kwake😂😂
Siku hiyo nimekula tambi mimi...silagi haya makitu...watoto wamepika diko la ushuani kabisa..kula pale tunacheki movies niaje
Niliwaambia wako wawili aanh...nashangaa huyu mwenzake haniiti hata Funjo...kakomaa shem shem...nasema okey...ka hyo ndo hivi
Mara mwenzio sijui alichoka "sikia shem mi niko chumbani...acha niende zangu ig nawaacha mie, si unalala kwetu leo??"
Ushakuwa usiku kama saa sita hivi
Kwenye sofa za baba yao...kidume nipo nimejitanua mbaya...nakohoa kohoa kikohozi mbuzi kama nina COVID-19😂😂
Bibie akaaga akasepa rum...kurudi kavaa night dress...hapa ndipo alinichanganya mie
"Tutalala hapa kwenye sofa?" Ananiuliza
Namuambia "im tall sitoshi hapa"
Twende basi chumbani...namuuliza wapi tena...yuko ndugu yako huko
Anasema "chumbani kwa Dad"
Wazee mimi naniii imetuna inapumua kama ina mapafu...sijawaza sana...tukasepa😂😂
Najua nawakera sawa...ila show ilipigwa chumbani kwa Mkuu
Mtoto ana hatari mbaya, hatari sheikh😂😂
Ile nyumba ina wachawi sana aisee...nilimka nimechoka sana😂😂😂
Kitu kimoka mjue, mtoto alilia usiku mzima...sio kwamba eti anaona raha sana nah...ni kama kitu kinamuumiza...sio my dick...nah
Analia tu...namuuliza ni nini, anasema wait utajua tu
Ila kitu kimoja Anapiga magoti ananishukuru kinyama
"Asante sana Funjo, kwa mara ya kwanza nimempata Saviour wangu...na huyo ni wewe...nashukuru...please simama na mimi nisaidie kuishinda hii vita, nilihitaji sana mtu kama wewe"
Mi simuelewi ujue,kama tu ambavo hamuelewi ninyi hapa😩
👉Siku kama mbili hivi napokea text ya Mkuu
"Funjo when i come back, u will be the first person in my office, we need to talk, its important"
Hivi mnajua nini??😂😂😂
Mlinzi bana...walinzi hawa...ile siku napiga dinner aliniona naingia kwa mkuu...lakn mpaka anakabidhi lindo
hakuniona natoka😂😂😂
Huyu fala akampa story yote mkuu...ilikuwa kisanga sana mabumunda
Siku hiyo Mkuu karudi niko naye ofisini...ananimind...Funjo unatoka na binti yangu...na umelala naye nyumbani kwangu
Ni nimetulia zangu kisela...nakana kila habari inasemwa😂😂😂
like 'sijawahi kuja kwako usipokuwepo, sijalala na binti yako yeyote, na hata huwa siongei nao'😂😂😂
Mzee ka-mind sana pale...ruka juu...gonga meza sana...piga misamba mingi...mimi nimetulia nasema huyo kakuambia hii kitu kakudanganya
Ka panic...nawaita hapa
Nikamwambia, waite
Wakaja wale mabinti sasa...eenh hebu niambie nani anatoka na Funjo hapa kati yenu??
Huyu mwingine anaogopa sana...anatetemeka
Mwenzake sasa...mkavuuu
Hiki sasa kilinishangaza
"Dad nimechoka mimi kulala na wewe, im mean what kind of dad are u?
Listen to me darling(ananiangalia) i have been sleeping with my dad eversince i became a lady, this dad, my dad, the one u respect like to much, he literary took my virginity, nimekuwa naumia kipindi chote hiki, now naomba uniache sasa kwa mara ya kwanza niwe nafanya sex na mtu ambaye sio wewe baba yangu mzazi, na huyu mtu ni Funjo, jaribu kumfanya chochote...na nitakufanya kitu hutokuja kusahau maishani kwako"
Mzeeeeeee!!!!
Mzee aliyekuwa kasimama anagonga gonga meza katulia kama kafumaniwa manina zake
Binti yake anamuuliza 'kuna kitu unataka kusema sasa?
Katuliaaa...anatikisa kichwa kama msengerema
Bibie akanishika mkono "babe lets get out of here"
Nipeleke kwako Funjo...nataka kupumzika...nikampeleka maskani...tumekaa huko siku tatu
Mkuu anaipigia simu...Funjo we need to talk
Namcheki ananipa story nyingi za kifala
"Nisaidie kuomba msamaha wewe ni ndugu yangu"
Namuambia wewe sio ndugu yangu, na msamaha utamuomba mwenyewe binti yako akitoka honeymoon😂😂😂
Narudi kwa mtoto ananiuliza "Funjo si utakuwa na mimi hata baada ya kuujua ukweli??
Najisemea, hainaga makombo hii😂😂😂
okey, ladies and gents...that was all for today
Asanteni sana kwa kusoma hii makitu yangu ya kibumunda
Nashukuru sana wanetu
Tuonane tena wakati mwingine
Ni yule yule kinyamkela mzee wa kukela na Kuna watu tayari nishawakela🤣🤣🤣
With Love
Mzee wa ujinini
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
C&p.
Pichani baada ya sms kuingia jina limesaviwa bibie