Ha ha ha! Mbona unaruka Mungi?? Wewe pia nimekupata nipe hongera lol...hahaaaaaa............ kesho nazifunga mjini nimechoka kuzurura.
thanks..... hongera kwa kumpata braza Filipo! sijui umemlisha ile mamitego yenu
Ha ha ha! Mbona unaruka Mungi?? Wewe pia nimekupata nipe hongera lol...
Zifunge mwaya manake kuzurura sana sio vizuri...utanikuta KIA nakusubiri unikabidhi ile zawadi ya dera uloahidi kuninunulia!
Me namiliki wanaume watano.
Na wote nawamudu.
Ha ha ha ha! Mr Rocky usijali nishakuombea msamaha dia, hatakufanya chochote lol. Unamuona sis wangu alivoenda hewani eeh? Familia yetu haichokozwagi kwaajili yake!
aisee mi nikitaja vikwangu si mtakimbia! Infact mimi namiliki mgodi wa dhahabu, baiskeli moja ya Avon, nina yebo yebo pea tano, nina miliki pori la kukamatia senene, ninamiliki kitanda cha kamba hicho kimetengenezwa USA yaani United States of America
watu8 nina ufunguo special kwa vitu kama hivyo aisevilivyofungwa huwa havifunguliwi kirahisi...
Hii inaitwa 'Operesheni garagaza Filipo'... Hatukuachi upumue, mpaka safari ya tanga ifike umechakaa kama L...owa...hasa!
lazima asalimu amri. Safari ya Tanga itamtoa machozi tu
Honey ! Darling ! Sweetlove nitonye! Missing you baby !aisee mi nikitaja vikwangu si mtakimbia! Infact mimi namiliki mgodi wa dhahabu, baiskeli moja ya Avon, nina yebo yebo pea tano, nina miliki pori la kukamatia senene, ninamiliki kitanda cha kamba hicho kimetengenezwa USA yaani United States of America
Mi simo kwenye utawala wako.
Khaaah! Husband unachafua cv ya mkeo hadharani! Siamini macho yangu!Halafu wewe mbona hulali nyumbani?