Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,364
- 108,510
We nyasiro huo ukabila umeutoa cha where?
hivi kumbe bado cjatimiza hiyo kitu kwenye blue?. Nifanyie mpango nitimize.
hunisumbui kabisa. Mwenzio nimeogea mpendwa pendwa ndio maana ukiniona tu.......
Mimi pia mke wa mtu, acheni kunizulia! Shame on you
Kama nimemfurahisha na yuko karibu yako hapo mwambie hanitendei haki kwa kutojibu PM yangu halafu msalimie sweetlady.....
mmmmh haya! yangu macho,we sweetlady unadhani nshasahu ulivyomfanyia ndugu yangu nitonye kwa Vin Diesel? mla ndizi husahau,mwokota maganda?
YAEDA?? Unaogopa nini? Kwani wewe ni dhaifu? U have to face challenge!
Umejitoa au umetolewa?Bado wengine atawashughulikia pia....mie nilishajitoa
Ahsante St. Paka Mweusi, salamu zimefika na nimezipokea kwa mikono miwili.Kama nimemfurahisha na yuko karibu yako hapo mwambie hanitendei haki kwa kutojibu PM yangu halafu msalimie sweetlady.....