sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Last edited by a moderator:
Azima ungo fulan anazo tano
Hahahahaha! Yanakuhuuuuu?at last!! Kumbe ndio maana katulia! Umempa pa mtoto nini!?
Tulikuwa tunataniana na husband , nashangaa harusi sio yako umeivalia kanzu!
Ha ha ha hahahaha! Nilikuambia toka jana kuwa nimekubali kushindwa ! Mbavu zinakaribia kuvunjika ujue!ha hah hah hah hah! Utani wa kulala nje!? Weeeh!!