FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

Hayo maneno yako yatanichukua mda kuyaamini halafu nyie ni wanafiki mnaleta chokochoko ili nimteme my wife

ili uyaamini maneno yangu mapema, unatakiwa uanzie pale anapolala nje ya nyumba ujue anakoenda kulala. nakuambia sweetlady ametupanga kwemye foleni kama tupo kwenye kura
 
Last edited by a moderator:
Kadi yangu ya cdm ina sahihi ya mbowe niliipata baada ya operation sangara mbowe alikuja manzese mwaka kama 2008-2009 hv.
 
Hayamuhusu kivipi wakati nakuona hapa unavyosumbuana na sweetlady,unafikiri yeye sio binadamu .. ??Au ndo nyie mnaoringia eti mke wangu tumetoka mbali wakati mmetoka hapo Kwangulelo tu. marejesho naomba unijibu PM yangu mama......

Hah hah hah hah! Mnaongezeka tu!? sweetlady, Nicas Mtei, wewe na bado watakuja wengine na mtapita. marejesho ananimiminia ndovu, ngoja nikujibu hiyo "Pinda"
 
Last edited by a moderator:
Leo hapa iko kazi hasa! Ila nitonye kazi unayo kwa mahusiano waliyo nayo sweetlady na Mungi. Kwa kifupi elewa tu kuwa hapa tuko tumekaa meza moja na hata hizi post wanasaidiana kuandika na ku-edit, kama huamini muulize Filipo.
 
Last edited by a moderator:
ni ya kweli kabisa mkuu..... in short andika huna mke....... sweetlady anatakiwa aoe siyo kuolewa

mpe mpe mpe huyo!!! Kazoea kuvuruga ndoa za watu kwa kung'ang'ania waume wa wenzie wakati mumewe analala mwenyewe!!! Atajibeba leo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom