FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

Huna adabu kweli nitakutukana kikubwa, huna ubavu wa kuliona sufuria la my wife

Mkuu hicho kitu ulicholishwa na my wife wetu sweetlady ikakupofusha macho na mawazo sisi wote tumeikwepa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hicho kitu ulicholishwa na my wife wetu sweetlady ikakupofusha macho na mawazo sisi wote tumeikwepa

Hayo maneno yako yatanichukua mda kuyaamini halafu nyie ni wanafiki mnaleta chokochoko ili nimteme my wife
 
Last edited by a moderator:
Hayo maneno yako yatanichukua mda kuyaamini halafu nyie ni wanafiki mnaleta chokochoko ili nimteme my wife

Tulia wewe!!! Kumbe mkeo humjui! Ndio maana unalalamika mtaani mambo ya chumbani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom