FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

aisee mi nikitaja vikwangu si mtakimbia! Infact mimi namiliki mgodi wa dhahabu, baiskeli moja ya Avon, nina yebo yebo pea tano, nina miliki pori la kukamatia senene, ninamiliki kitanda cha kamba hicho kimetengenezwa USA yaani United States of America

Mgodi wa dhahabu kumbe ndo Barick Gold mines.,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom