Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,752
218,339
FB_IMG_1689237578760.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam.

Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa utafanyika 14/07/2023 kuanzia saa 8 mchana, ambapo Mbowe anatarajiwa kuyaanika hadharani maazimio yote ya Kamati Kuu iliyokutana Bahari Beach Hotel tarehe 08/07/2023.

Tunafahamu changamoto mnazozipitia Waandishi wa habari wa Tanzania kwa kuzuiliwa kuandika habari za Chadema, lakini kwa gazeti lolote kukosa taarifa za mkutano wa kesho yaweza kuwa hasara ya milele ya gazeti hilo.

Milango itakuwa wazi kuanzia saa 2 Asubuhi .

Wote Mnakaribishwa.
 
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chadema iliyoketi Julai 08, 2023. Mkutano huo utafanyika kesho Julai 14, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana katika Ofisi za Makao Makuu
1689238832747.png
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam.

Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa utafanyika 14/07/2023 kuanzia saa 8 mchana, ambapo Mbowe anatarajiwa kuyaanika hadharani maazimio yote ya Kamati Kuu iliyokutana Bahari Beach Hotel tarehe 08/07/2023.

Tunafahamu changamoto mnazozipitia Waandishi wa habari wa Tanzania kwa kuzuiliwa kuandika habari za Chadema, lakini kwa gazeti lolote kukosa taarifa za mkutano wa kesho yaweza kuwa hasara ya milele ya gazeti hilo.

Milango itakuwa wazi kuanzia saa 2 Asubuhi .

Wote Mnakaribishwa.
Freeman Mbowe ni nani mpaka ahutubie taifa? Au hujui maana ya Taifa, Anayeweza kuihutubia taifa ni Rais wa Jamhuri ya muungano tu, labda useme atahutubia wanachama wake.
 
Haya

Freeman Mbowe baba yake wa ubatizo ni Julius Nyerere kutoka Kanisa Moja Takatifu la Mitume

Yeye Freeman ni KKKT

Jamaa anachanja mbuga!
Wacha porojo, alialikwa tu kama watu wengine kama Sheikh Takadir na John Rupia. Mluteri hawezi kubatizwa RC.
 
Mbowe nae Siku hizi sijui amekuwaje yani dah! Amekuwa kama mbwa asiebweka

"Kisu kisichokuwa na makali"
 
Back
Top Bottom