Baada ya msemaji wa polisi kuibuka na kuutangazia umma kwamba Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kujiusisha na mambo ya ugaidi......imeshtusha sana.

Ni kweli Jeshi la Polisi lina uweledi mkubwa kwenye ugunduzi wa mambo yanayohusiana na uhalifu, lakini kwenye hili tuombe Allah...iwe kweli, ila ikiwa vinginevyo baadhi ya viongozi wawe na tabia ya kuwajibika kwa manufaaa ya Taifa letu pendwa Tanzania.
Mbowe na wenzake ni magaidi.

hatuko tayari kuwatetea watu amabao wanahatarisha usalama wa nchi yetu, kamwe hili haliwezi kuvumiliwa.

Mbowe na genge lake ni wahalifu kama wahalifu wengine. ila Mbowe alijificha kwenye uongozi wa chama na madai ya katiba mpya akijaribu kuwahadaa watanzani na dunia kumbe ni muhalifu wa vitendo vya kigaidi.
 
Mbowe kakwaa kisiki cha Mama.

JPM was fair kabisa ila wakamuona mshamba. Ngoja tuone moto wa mama wa kizanzibari.
 
Mbowe ni Shujaa !

A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Matusi yenu HAYATAWASAIDIA kupata katiba mpya.....

Kedi zenu HAZITOWASAIDIA LOLOTE.....

Watanzania wamewashtukia ninyi mawakala wa NCHI ZINAZOPENDA UKOSEFU WA UTULIVU BARANI AFRIKA....

ENDELEENI KUJIOTESHA NDOTO ZA MCHANA
Anayekula nyama ya mtu haachi , zamu yako haiko mbali
 
Ila tukisema ukweli viongozi wetu Wana matatizo ya akili Yani wanashindwa kudili na mambo ya kuwainua Wananchi kiuchumi wao wanahangaika na makesi ya kubambikia watu eti ni magaidi.Kumuonea binadamu Mwenzako ni kutafuta laana.
 
Hakuna kiongozi yeyote makini anaetaka amani na utulivu akawavumilia chadema na huu ndo ukweli Chadema mnafanya siasa za kizamani sana mnafanya siasa zilizokuwa zinafanyika enzi za kupigania uhuru

JPM ndo aliwaweza vzr Gwanda zilikuwa night dress mnazivaa usk wkt wa kulala
Siasa zipi za kizamani,kudai katiba ya wananchi?

Au kutaka katiba iliyopo iheshimiwe?

Toeni bongo zenu matakoni na tumboni,wekeni bongo zenu kichwani mtaona mlivyokuwa watumwa
 
DPP Mwakitalu - mtego wako wa kwanza ndio huu - utapeleka kesi mahakamani au utaona haina mashiko?
 
Magu yeye mwenyewe alijitengenezea maadui kumzunguka na ndio waliokuwa wanatoa taarifa. Haikuwa vigumu kwani alikuwa mtu wa kupenda sifa, kwa hiyo asingekubali kukaa kimya kama ni mzima.

NB: Tuendelee kufuata masharti ya WHO kujikinga na Covid. ipo na inawang'oa wabishi na wajinga.
Sasa kaka yake Mbowe alikuwa na ubishi na ujinga gani hadi ang'olewe na corona?
 
Back
Top Bottom