Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,455
Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10.

Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k)

si kwamba ukiwa na Division Two au Three huwezi kupata chuo kikubwa lakini ukweli ni kwamba ushindani ni mkubwa, na nafasi ni chache. Wanafunzi wengi wenye Division One nao wanaziwania hizo nafasi, jambo linalopunguza uwezekano kwa wengine.

Kwa hiyo, jiongeze kwa kuomba vyuo vingi, usijikite tu kwenye vya serikali. vya makanisa na binafsi pia vipo na vina nafasi zaidi kwa walio na division hizo za kati.

Kama una hizo division omba vyuo vingi hasa vya makanisa na private

Mifano ya vyuo unavyoweza kuzingatia:

Ruaha Catholic University
Catholic University of Mbeya
Moshi catholic
Tumaini - Arusha na Iringa
Saut Mwanza
Teku Morovian Mbeya
Mihayo - Tabora
Stela Maris - Mtwara
n.k.

Ni jambo la kusikitisha kuona mtu mwenye Division 2 au 3 akiomba vyuo viwili vitatu, tena vyote vya serikali. Hapo kuna hatari ya kukosa chuo kabisa.

Tafadhali jipangie vizuri: Omba vyuo vingi, jipange kutimiza ndoto zako.
 
Nashukuru shemeji kanifanyia apulikesheni naenda IFM BAIT,

Yep yep

Mukae stensibai kunipokea naingia kwa MGR mwendo wa kuburuzwa,,
 
Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10.

Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k)

si kwamba ukiwa na Division Two au Three huwezi kupata chuo kikubwa lakini ukweli ni kwamba ushindani ni mkubwa, na nafasi ni chache. Wanafunzi wengi wenye Division One nao wanaziwania hizo nafasi, jambo linalopunguza uwezekano kwa wengine.

Kwa hiyo, jiongeze kwa kuomba vyuo vingi, usijikite tu kwenye vya serikali. vya makanisa na binafsi pia vipo na vina nafasi zaidi kwa walio na division hizo za kati.

Kama una hizo division omba vyuo vingi hasa vya makanisa na private

Mifano ya vyuo unavyoweza kuzingatia:

Ruaha Catholic University
Catholic University of Mbeya
Moshi catholic
Tumaini - Arusha na Iringa
Saut Mwanza
Teku Morovian Mbeya
Mihayo - Tabora
Stela Maris - Mtwara
n.k.

Ni jambo la kusikitisha kuona mtu mwenye Division 2 au 3 akiomba vyuo viwili vitatu, tena vyote vya serikali. Hapo kuna hatari ya kukosa chuo kabisa.

Tafadhali jipangie vizuri: Omba vyuo vingi, jipange kutimiza ndoto zako.
Kupata division 1 siyo kigezo cha kupata chuo tu . Mfano mtu anaweza akawa na division one lakin form 4 aliharibu kwenye hesabu na kozi anayoitaka lazima awe na angalau "D".

Kupata division wana kweli inaleta sifa kama kozi unazo zitaka unasifa stahiki kwanzia o level .wapo watu wengi tu wamekosa vyuo na wana one miaka ya nyuma kutoka na sifa zinazo hitajika kweny kozi husika .

Vyuo vingi vya private vina ada kubwa hususani kwenye upande wa engineering ,computer,afya ada ni kubwa sana na kama inavyo julikana mkopo siyo mkubwa kwa hiyo mtu anaweza akashindwa njiani.

Uwamuzi bora ni kuomba kitu ambacho unasifs nazo mambo yakusema ndoto zako lazima zitimei wa achanenayo kwa sababu wakiforce watajikuta wana umia kweny ada kwa kiwango kikubwa.mfano kwa MD vyuo vya private hamna chuo ada yake ni chini ya 6M alafu mkopo ada unapewa tuition fees 500k . Kama mzazi wako anauwezo utajikuta unaingiza familia kwenye madeni makubwa na ukimaliza kumbuka nikujiajiri tu .
 
Tufanye over estimation wenye division 1 walioharibu form 4 ni asilimia 15 %, bado wanaobaki ni zaidi ya elfu hamsini.

Na kwa taarifa yako wenye division 2 na 3 wengi sana ndio waliharibu form 4,

Vyuo vingi vya private lazima ada iwe kubwa kwasababu hawapati msaada wa serikali, na bado wanajibana sana ndio maana hata lecturers wa private huwa wanalipwa kidogo kuzidi wenzao wa serikalini
 
Sema mm siungi mkono upande wa afya mtu kwenda chuo cha private kama mfukoni hayupo viziru.
 
Kozi za afya vyuo private ada zipo juu, Ndio maana tunawaasa sana wadogo zetu wasome kwa bidii huko mashuleni, matokeo huwa yana uzito wake kwenye selection za vyuo.

Ukiwa na division 2 au 3, kumbuka kuwa wapo wengi wanaoomba vyuo vya serikali wakiwa na division 1 za pointi 3 hadi 7. katika mazingira haya, sali sana, omba dua. Kwa matokeo ya kawaida wanaoonewa huruma mara nyingi ni watoto au ndugu wa wafanyakazi wa vyuo, makundi maalum, waliosoma shule za bush, wazanzibari, n.k. kwa wengine nafasi ni ndogo sana.

Kama kwenu kuna fedha njia inazidi kuwa pana kujaribu pia vyuo vya makanisa na binafsi hata kama ada ni kubwa
 
Huwezi kukosa chuo labda hawa jamaa wa PCB na CBG ndiyo wanaweza kuyatimba
 
Vyuo vinatosha na hua wanachukua wanafunzi kwa batch zaidi ya moja
 
Yaan umeeleweka mdau wanaokupinga ni ubishi n jadi yao tu halaf hapo hapo kuna wale wa diploma amabao nao wana nafasi zao kifupi wajiangalie sn kukosa vyuo mwaka huu n kitu rahisi sn
 
Mimi nimepata Division II (ya 10)
Nimeapply vyuo vinne tu na vyote vya serikali, kozi ya Mechanical Engineering, nimepata vitatu, kimoja tu ndio wamenitema
Na bado kuna Round II, watu kibao wenye ufaulu kama wangu watapata vyuo vya serikali
 
Engineering ni kawaida shida ni kozi za afya kupata ndio changamoto
 
Back
Top Bottom