jitahidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Kijana Mafanikio ya afya hayahitaji mtaji, jitahidi kufanikiwa kwenye afya

    Kukimbia ni Bure Kupiga pushup ni Bure Mazoezi ya kukimbia ni Bure. Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako. Six pack muhimu Kifua kikubwa Muhimu Muonekano wa mazoezi muhimu. Haya Tukomae
  2. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Tumia silaha kuu nne

    TUMIA SILAHA KUU 4 TUMIA SILAHA KUU 4 Silaha ya kwanza 1)usitende dhambi jitahidi usitende dhambi na tubu dhambi zako mara kwa mara,samehe watu waliokukosea,usilale na hasira usikasirike,usiogope woga usiwe na hofu wala woga,uwe na imani kuu amini Yesu anaweza yote,na wewe unayaweza yote...
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ndugu yako akisoma hizo course jitahidi kumuandalia bodaboda kama backup

    Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup. 1. Human resources management 2. Business Administration 3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini) 4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe) 5. Records...
  4. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Kwa Karne tuliyopo unapoenda kumtembelea mtu jitahidi utoe Taarifa kabla

    Usikurupuke kwenda kwa mtu umetoka sehemu unaenda kwa mtu bila taarifa wengine tunasababishiana tuonekane tuna roho mbaya kumbe mtu unakuja hutoi taarifa yoyote unashtukia tu mtu huyu hapa na mbaya zaidi bora uje ukae kidogo uondoke ila unang'ang'ania kulala kwamba hutaki kuondoka. Watu tuwe...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Kiongozi wa umma, jitahidi usiongee PUMBA mwezi mzima

    Kuna kiongozi / viongozi sasa ni zaidi ya miezi anaongea/ wanaongea pumba! Hakuna any meaningful takehome message from his mouth!
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kipato zaidi ya mara mbili na kuendelea pia akili usiweke pembeni

    Ni ushauri wa Bure Kwa mwanaume anayetaka kubaki kwenye nafasi yake ya uanaume. Ambao mmeamua kuleft siwashangai Wala kuwadharau uanaume ni kazi ngumu sana Huwezi kuambiwa jikaze kimwanamke , jikaze kiume ndo NENO liko Hadi kwenye maandiko
  7. Tundusami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke jitahidi uyajue mafuta ya Miski haswa kwa wenye maumbile ya kike makubwa.

    Ukiwa kama mwanamke jitahidi uwe na mafuta ya miski halisi itakusaidia kufanya uke ubane, inarudisha joto asilia na inaondoa harufu mbaya ya uke. Uke unakuwa mdogo mnato kama wa mtoto.
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ukijuana na anayekuzidi uwezo, jitahidi kuficha njaa zako

    https://m.youtube.com/shorts/9yn5UKUP3yM Hii inakata stimu sana. Umepotezana miaka kibao na jamaa yako, mnakuja kukutana hivi karibuni. Unashindwa kabisa kuficha njaa zako, sms za simu za virungu kibao. Umetambulishwa kwa mtu anayekuzidi uwezo basi chota maarifa. Najua hatuishiwi shida...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama umemaliza angalau kidato cha 4 halafu hujui Kiingereza. Jitahidi ujue, hiyo ni aibu

    Wasiojua Kiingereza na wana Elimu ambayo wameipata kwa lugha ya Kiingereza watakuja na utetezi wao kuwa Kiingereza ni utumwa, mara Elimu si lugha, mara utawasikia Wachina mbona wana viwanda, wengine wana Master's na hawajui Kiingereza. Utetezi wa namna hii ni mfu, unapaswa unyang'anywe vyeti...
  10. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Baada ya samia kumaliza mda wake, uchumi utakua mgumu kidogo! JItahidi hiki kipindi uwe na uwekezaji wa maaana

    Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa...
  11. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Jitahidi kupima uzito wa kila neno unaloletewa

    Wakuu Mimi Niko salaama, salama sijui ninyi huko, turudi kwenye uzi Siku moja Nguli wa falsafa bwana Socrates, siku moja alitewa habari na shushu, snitch pindi alipokuwa ofisini kwake, Bwana Socrates alimwambia hivi snitch ambaye alikuwa mwanafunzi wake kwamba kabla ya hujanipa hizo habari...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Usiishi kama uko bustanini Edeni, Dunia hii imechafuka jitahidi kuzingatia haya

    Kama dunia ingekuwa imenyooka kama katika ile bustani basi ungekuwa huru kufunguka Kila KITU. Ila ya Sasa ni vurugu tupu angalia sana unavyovisema maana vinakutambulisha. Mambo machache ya kuzingatia... 1: Hakikisha hufunguki 100% kusudi lako na umepanga kufanya nini. Acha watu waone matokeo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Kama huna muonekano mzuri jitahidi uvae na unukie vizuri

    Kuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki “pay attention “ kwetu mnaanza kushangaa. Kama unajua una sura personal na irregular shape, then...
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo jitahidi hii utakayopata ya kiinua mgongo uitumie vizuri kwakuwa haurudi Bungeni umeumiza sana watu

    Mrisho Gambo kwa jinsi ulivyoumiza watu Sana , nakupa huu ushauri huu usiharibu kiinua Mg on go chako kugombea. I hope you gonna shine with another way Nigga.
  16. Knock life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca

    Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca. Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana . Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana . Na itakuongezea heshima 35 Yrs Jux 23 Yrs Prisca.
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jitahidi kuficha maumivu yako kwa watu ambao sio sahihi ila pia onesha maumivu yako kwa watu ambao ni sahihi. "Law of power"

    Success can sometimes draw unkind judgments from low-minded people. When you achieve great things, they may claim that you did it through witchcraft (uchawi), or if you face challenges, they could say you are cursed (umerogwa). According to the 48 Laws of Power, achieving great things...
  18. MFALME WETU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  19. R

    JamiiForums Tanzania Salamu ya masikini ilishatafsiriwa ni kuomba msaada, jitahidi sana kwenye haya maisha upigane na umasikini watu wasikukwepe

    Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada, Ukiona watu wanapita kama vile hawajakuona, wanajifanya kuwa bize kuongea na simu, n.k. hesabia...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kijana jitahidi ujifunze angalau lugha mbili za kimataifa

    Najua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali makini lazima atajua umuhimu wa hiki ninachokisema. Kwa Mtanzania jitahidi ujue...
Back
Top Bottom