Kishaungua kabisaaaaKichaka cha kujifichia watu wa Man U naona Ajax wanataka kukitia moto
Hahah watajificha wapi hawa jamaa? Ila walivyo wabunifu hawakawii kujificha kwenye hilo goli la Ronaldo
Messi vs young hawa jamaa wanamatatizo kweli kweliHahah watajificha wapi hawa jamaa? Ila walivyo wabunifu hawakawii kujificha kwenye hilo goli la Ronaldo
Mkuubumewaza mbali sana...jamaa wanajua sana kushika ata uzi wa mlendaHahah watajificha wapi hawa jamaa? Ila walivyo wabunifu hawakawii kujificha kwenye hilo goli la Ronaldo
Mpira unatakiwa uishe saiv
Hahah watajificha wapi hawa jamaa? Ila walivyo wabunifu hawakawii kujificha kwenye hilo goli la Ronaldo
😂😂😂😂 eti litaanzishiwa uziKesho watalianzishia uzi hilo goli. Hata kama wametolewa 🤣🤣🤣🤣 hawa viumbe wa ajabu sanaa
Mtajidanganya sanaa...last game mlikuwa mnasema mkono mkaambulia kamoja ka VAR
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe hua unafika huku?
Oya siangalii hii mechi
Vipi De Gea kafungwa magoli ya mashuti ya mbali nini