BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Mimi binafsi naomba Spurs washinde-Hawa Ajax naona wanaweza tibua ndoto ya Barca
Anaepindua ndoto ya barca ni liverpool
uyo Vidal wa nn tena daaah jamaa hana skills kabisa
#Forca_Barca
We are here ,we are ....
Camp Nou machinjioni ,tuna sacrifice kila kiumbe kinachofika hapa ...najua Salah ,Sadio Mane ,Vin Dyk yanagonga chupi
Hapa hamna mkuyati ila.watoto wanaloana tu kwa kuchezea koki
Get ready, stay focused
We colour the football,To the Glory .....Europe
Barca alikua na odds ya 1.91 1xbetNamshukuru sana Messi,jana nilibet laki 2 Barcelona anashinda,faida elfu 82 si ndogo
Kabisa kabisaHaukubet wewe odd ya Barça Ollie's 1.80-1.90 kama uliweka laki 2 ungepata 364,000 faida ingekuwa 164000 jifunze kuandika uongo
Ningekua shabiki wa Liverpool ningeenda tu kulala Leo mapema
Liverpool atafungwa goli 4-0 Leo Camp Nou
Neymar kapishana na CL...natamani sana angekuwepoZingefika goli 5 kama angeshoot Messi, Ustazi dembele katuangusha...imeniuma sana.
Magical Messi...MMLa Pulga De La MesiéView attachment 1085898View attachment 1085899
Vidal ni mwenyekiti wa roho mbaya pale..Kwangu Mimi Arturo Vidal ndiye Man of the Match. Ametimiza majukumu yake ipasavyo. Vidal aliletwa Barcelona purposely kwa Mechi kama hizi. Last season tumetolewa na Roma ni kwa sababu alikosekana Mtu kama yeye.
Kocha ameplan vizuri kumuacha Arthur Melo kwa sababu Dogo Bado hawezi fitna na roho mbaya.
Vidal anahitajika Sana next game pale England kukamilisha Kazi yake
Jamaa mnyama sana aisee halafu hana preshaJamaa anapenda sifa sana katika maisha ya uhalisia anajiita THE BERLIN WALL.
Nasema tena mpigwe tu nyie mambwa hamna lolote nawachukia ..mpigwe mana hamna lolote
Kama ya JfVidal ni mwenyekiti wa roho mbaya pale..
Yaani ni moja na mbili tuuuu
Mlete mama yako nikuoneshe jinsi nlivyokua
Wapi Yule beki bora EPL?
Kanikera sana...bora angescore Messi mwenyeweDembele kaniharibia siku
Inatakiwa apigishwe bench hadi mwisho wa msimu
Hatari sanaJamaa anapenda sifa sana katika maisha ya uhalisia anajiita THE BERLIN WALL.