Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,892
- 8,971
mie mbona sio mkware![]()
suarez anatucost sana mimi nasema kila siku yani hata kupiga pass hawezi wanini mchezaji ambae msimu huu anacheza kiunjanja ujanja tu anajificha kwenye kuweka ukaribu na messi kama vipi nae aende tuNilikuwa BB kuna povu balaa. Nasikia Iniesta anaenda china mwisho wa msimu na Pia Liverpool wakishinda UCL Coutinho atapewa medali yake. Ila natamani mechi zijazo Suarez mzito apumzishwe. Tuwe na Coutinho, Messi na Dembele. Awe anaingia fk za 80 huko.
Unachukua mashabiki 80,018Sansiro ndio uwanja mkubwa unaingia mashabiki 120,000
UNAONGEA AU UNAHARISHA?Na kuelewa ukwel moja ya ya talanta za mwenyez mungu
Kat ya messi na cr7 jitaid sana kuona ukwel na sikupelekeshwa kimahaba
Madrid hawawezi u that
hakuna cha majeruhi wala nn acheni visingizio kwani nyinyi nani mpk musipigwe kipigo cha mbwa mwizi mbona man city mwenzenu katulia daaaaaaaaaaaaah mumepigwa kihalali na wachezaji wote walikuwa wazima wa afya wangekuwa majeruhi wasingecheza kwani muna wachezaji 11 tu?nyambaaaaaaaaaaaaf litimu limezidiwa magoli mpk kutawala mchezo shnzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzNdo matokeo ya mpira mkuu, ila Roma wana bahati sana laiti kama KING MESSI asingekuwa majeruhi jana angepiga bao 2 peke yake tena zote za free kick, kuna haja saizi ya kumpumzisha ikifika kwezi wa 4 maana haiwezekani mwaka wa 3 mfululizo anashindwa kuisadia team yake kutokana na majeruhi
Mkuu taratibu mbona povu hivo we hujaelewa point yangu, me nilikuwa namtania mzee wa barca blackpanther sasa kwani unazani me sijui kama messi hakuwa majeruhi?hakuna cha majeruhi wala nn acheni visingizio kwani nyinyi nani mpk musipigwe kipigo cha mbwa mwizi mbona man city mwenzenu katulia daaaaaaaaaaaaah mumepigwa kihalali na wachezaji wote walikuwa wazima wa afya wangekuwa majeruhi wasingecheza kwani muna wachezaji 11 tu?nyambaaaaaaaaaaaaf litimu limezidiwa magoli mpk kutawala mchezo shnzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Mimi ninachojua wametolewa kwa goli la ugenini. Au Mimi ndo mbumbumbu wa soka?Kweli baselona mmeshindwa kufunga hata goli moja dakika zote tisini??
Yaani hata ule ujanja ujanja wenu wa kuijangusha mpate penati Leo mliusahau??
Yaani timu kubwa hivyo inaongoza 4-1 halafu inashindwa kupata goli moja tu ugenini??
Nakwambieni huu uchungu wa Leo utawauma kwa kipindi kirefu sana.
Angalau hata mngetolewa kwa goli la ugenini, lakini kwa hii fedhea mtadhiakiwa sana kwanzia Leo.
Kama iniesta anaenda China ujue ndio mwisho wenu kutawala elclassico.Nilikuwa BB kuna povu balaa. Nasikia Iniesta anaenda china mwisho wa msimu na Pia Liverpool wakishinda UCL Coutinho atapewa medali yake. Ila natamani mechi zijazo Suarez mzito apumzishwe. Tuwe na Coutinho, Messi na Dembele. Awe anaingia fk za 80 huko.
Kama iniesta anaenda China ujue ndio mwisho wenu kutawala elclassico.
Modric ni kiungo mzuri lakini akiwepo iniesta anapotezwa kabisa.ila iniesta asipokuwepo Hawa Sergio,rakitic etc wanapotezwa vibaya
Mimi ninachojua wametolewa kwa goli la ugenini. Au Mimi ndo mbumbumbu wa soka?
Kaka zidane ndio alikuwa anawanyanyasa Brazil katikati ya uwanja na kuwafanya akina kaka,juninho,ze Roberto,ronaldinho na Gilberto Silva kuonekana wa kawaida.Coutinho yupo
Messi tumsubiri world cup tu...akiteleza na kule basi cr7 ajibebe balon yake tena
umekosea....anaitwa BlackPunctureBlackPantheeeeer!!!