Kivule
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 639
- 662
Mie nimepumzika mkuu kuangalia match za Barcelona ad msimu ujao tena.Naona uwanja umepoa. Mashabiki hamna. Suarez katupia moja assist ya Coutinho. ila stream yqngu inakwamakwama. Tunacheza vizuri?
Mie nimepumzika mkuu kuangalia match za Barcelona ad msimu ujao tena.Naona uwanja umepoa. Mashabiki hamna. Suarez katupia moja assist ya Coutinho. ila stream yqngu inakwamakwama. Tunacheza vizuri?
Wanacheza kama watford vile mpira hauvutii kutizamaMie nimepumzika mkuu kuangalia match za Barcelona ad msimu ujao tena.
Vervelde asepe tuu aghhWanacheza kama watford vile mpira hauvutii kutizama
Umtiti akidondoka kizembe nusu mfungwe naona akaamua akafunge tuu goli sasaUmtitiiiiiii. 2-0
Hamhafungwa hadi sasaVervelde asepe tuu aghh
Hamna game ime mshinda tuuMessi kuna kitu kinamtatiza..hana mood kabisa na game,,
Messi kuna kitu kinamtatiza..hana mood kabisa na game,,
Ndio pale yupo na coutinho tuHana wachezaji wenye kiwango.
Kocha anazingua anachezaje mchezo wakujilindaNdio pale yupo na coutinho tu
Ndio pale yupo na coutinho tu
Hao ma left shooter unaowataja hawawezi kutufaa kwa loloteInasikitisha sana kiongozi... King Ilitakiwa apate wenye kiwango kama wakina asensio, sane, moh salah and Dybaa...tim kwa sasa haifanyi vizuri...na Messi asipowepo ndio wanapoteana kabisa.
Dennis , Coutinho, Dembele wanatutosha sana. Ni hili likocha tuHao ma left shooter unaowataja hawawezi kutufaa kwa lolote
Braza si ulisema jamaa ana ibeba tim na anawezaInasikitisha sana kiongozi... King Ilitakiwa apate wenye kiwango kama wakina asensio, sane, moh salah and Dybala...tim kwa sasa haifanyi vizuri...na Messi asipowepo ndio wanapoteana kabisa.