Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Dooh! embu punguza kidogo basi unafanya kama hatujuaniHahahahahaaaaa
Woyoooooooo

Dooh! embu punguza kidogo basi unafanya kama hatujuaniHahahahahaaaaa
Woyoooooooo

Pole sana nduguHii ni aibu mwalimu ametuabisha sana nafsi inaniuma sana moja ya fedheha kubwa sana
Nikweli kabisaKweli baselona mmeshindwa kufunga hata goli moja dakika zote tisini??
Yaani hata ule ujanja ujanja wenu wa kuijangusha mpate penati Leo mliusahau??
Yaani timu kubwa hivyo inaongoza 4-1 halafu inashindwa kupata goli moja tu ugenini??
Nakwambieni huu uchungu wa Leo utawauma kwa kipindi kirefu sana.
Angalau hata mngetolewa kwa goli la ugenini, lakini kwa hii fedhea mtadhiakiwa sana kwanzia Leo.
ShukraniPoleni sana ndugu...
Roma hawawezi kufanya Remontada...
Kwanza Remontada maana yake nini?
Tetesi: Jamaa yenu PNC 1 amejinyonga ila hajafa!This is unfair knock out mwaka jana walipotutoa Juventus niliridhika sana na matokeo but not this
Velverde huyu anafikiria low sana yeye kama Mourinho anakaba tu...ndo maana hata team ndogo tunapata ushindi kwa tabu sana
This is not a good trend
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

Huwezi kubakwa na njemba zote hizo Usife! Wamebakwa mpaka kufa!Hakuna mtu aliefiwa humu, zaidi nasikia kabakwa tu!
We are barca fans whether we tie ,lose or win
Huwezi kubakwa na njemba zote hizo Usife! Wamebakwa mpaka kufa!
mmh Numbisa wewe sio yule mtangazaji wa Azam? ulivoandika kama naisikia ile sauti yakeRoma imefanya maajabu baada ya kuwabamiza Barcelona 3-0 na hivyo kutinga nusu fainali za mabingwa Ulaya kwa faida ya goli la ugenini.
Barca walikuwa wanapewa nafasi kubwa ya kusonga mbele kutokana na kuingia uwanjani wakiwa na akiba ya magoli, ambapo kutokana na mechi ya kwanza waliyoipiga Roma bao 4-1, Roma ilikuwa inalazimika kuifunga Barcelona 3-0.
Goli la Edin Dzeko dakika za awali za mchezo (6'), na Penalty ya Daniele de Rossi katika kipindi cha pili dakika ya 58 yamekamilishwa na Goli la Mlinzi Kostas Manolas alilofunga zikiwa zimesalia dakika nane tu mechi kufikia mwisho zimewafanya Barcelona pamoja nakuwa na Lionell Messi ambaye hakufurukuta, kuondokakichwa chini katika Ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Umati uliokuwepo Stadio Olimpico ulilipuka mara baada ya kipyenga cha mwisho pale wachezaji wa akiba wa Roma na benchi lao la ufundi walipoingia katikati ya uwanja kushangilia na wachezaji wao.
Kulikuwa na machozi katika nyuso za mashabiki wasiamini kile walichokishuhudia katika mtanange huo ambao haukutegemewa kuisha ulivyoisha.
Roma imekuwa timu ya tatu katika Champions League kuweza kuyapindua matokeo ya namna hiyo ya goli tatu au zaidi. Timu pekee mbili ambazo awali ziliwahi kufanya hivyo ni Deportivo La Coruna dhidi ya AC Milan mwaka 2004 na Barcelona dhidi ya Paris St-Germain msimu uliopita.

huyo mesi wenu jana mliona alivozibitiwa,,Mashabiki wa barca wanashangaza kweli,kitendo cha messi kuwa genius wa mpira na timu kucheza vyema basi wanadhani wao ndio wanajua kuuchambua mpira kuliko mashabiki wa timu nyingine.
Poleni wakuu,hata mie nimeumia kwa ajili ya LM10.
Ndo matokeo ya mpira mkuu, ila Roma wana bahati sana laiti kama KING MESSI asingekuwa majeruhi jana angepiga bao 2 peke yake tena zote za free kick, kuna haja saizi ya kumpumzisha ikifika kwezi wa 4 maana haiwezekani mwaka wa 3 mfululizo anashindwa kuisadia team yake kutokana na majeruhiSina cha kuongea kwakweli...nawatakia usiku mwema ndugu zangu.
ivi unadhani rahisi,, mdau mmoja kasema watu wanapiga rozali mda woteHahahaaaaaa, hivi hata zile tap in mnazosema Ronaldo ndio hua anafunga na ni very very very very easy mmeshindwa hata moja?
natamani hii ungeitengenezea Uzi kabisaBas sawa but mm nikiona mtu anatumia nguvu nying kuhusu cr7 juu ya messi naona kama anamvunjia heshma. For the following reasons
: cr7 n mkubwa kwa messi , sio vzur kaka kumlinganisha na mdogo wake
: cr7 hardworking haipendez kumfananisha na talented itakulazmu utumie nguvu nyng kuaminisha watu
: cr7 anatumia viungo karbu vyote sio vzur sana kumfanansha na anaetumia mguu wa kushoto kwa mara nyng

mmh Numbisa wewe sio yule mtangazaji wa Azam? ulivoandika kama naisikia ile sauti yake![]()
![]()
![]()