naunga mkono hoja, ila umeharibu pale chini,, kwamba mess hajawai kuwafunga chelsea ktk ubora wao,Pre caution
Huwa si argue na watu wenye maneno ya taarab kama mshamba, mjinga unajiona mjanja sjui etc kwa hiyo kama na wewe huwez ku argue na mimi kaa kushoto. Ni hayo.
Mechi nyingi ambazo Messi kawafunga Madrid walikuwa ni wabovuu(sija sema zootee). Nakumbuka kasoro mechi ya mwaka jana ya 3-2 ambayo Madrid walikuwa pungufu.ila walikuwa wako poa kuliko barca.
Nakukumbusha maneno ya pique baada ya kufungwa na madrid mechi mbili za august 2017 supercup, alisema kwa mara ya kwanza kwenye maisha yake ndio aliona Madrid imekuwa timu bora kwa ka kitu dhidi ya Barca. Sasa kama Pique mwenyewe anaadmit wewe ni nani mpaka ukatae?
Mi sja sema kuwa Messi hajaweza kumfunga buffon, ila nasema amaweza kumfunga Buffon akiwa amechoka, angalia statitstcs si mimi. Messi hakuqeza kumfunga Buffoni alo kuwa kwenye kiwango chake
Na Messi hakuweza kuifunga Chelsea iliyo kuwa kwenye kiwango chake. Hiyo ni fact mi sidanganyi.
Sasa sja jua unabisha nini.

This is unfair knock out mwaka jana walipotutoa Juventus niliridhika sana na matokeo but not this
Velverde huyu anafikiria low sana yeye kama Mourinho anakaba tu...ndo maana hata team ndogo tunapata ushindi kwa tabu sana
This is not a good trend
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Tatzo sijatulia, ila ww ifungulie tu Uzi ata baaz ya nondo ntakupanatamani hii ungeitengenezea Uzi kabisa
![]()
hapana nahisi ni weweAah kesi hio mkuu. Mie anonymous tu

umeongea ukweli mkuu
Na kuelewa ukwel moja ya ya talanta za mwenyez munguumeongea ukweli mkuu
Mechi yoyote ya Away linapanga 442 na kujilinda. Au utakuta half moja linapanga kikosi hiki na nyingine kikosi kingine au formation nyingine na kuharibu mpira. Halafu huwa linasimama kwa majivuno kweli. Hope watalizomea camp nou na mpira wake wa hovyo.This is unfair knock out mwaka jana walipotutoa Juventus niliridhika sana na matokeo but not this
Velverde huyu anafikiria low sana yeye kama Mourinho anakaba tu...ndo maana hata team ndogo tunapata ushindi kwa tabu sana
This is not a good trend
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
hakika naujua ukweli, CR mtu mwingine yule mda utadhihirishaNa kuelewa ukwel moja ya ya talanta za mwenyez mungu
Kat ya messi na cr7 jitaid sana kuona ukwel na sikupelekeshwa kimahaba
aiseeh,kila jukwaa nina a.k.a tamu tamu aiseee

Ndio uwanja mkuwa ukilinganisha na viwanja vipi?Sansiro ndio uwanja mkubwa unaingia mashabiki 120,000
Huyu jamaa ni mnyakyusa wa Tukuyu. Mzamiaji tu![]()
![]()
![]()
mwamtiti inaelekea alizamia France huyu
Yeah hatuna kikosi strong lakini tulitakiwa tuishie hata nusu final
Madrid hawawezi u thatSad. Kipigo kile kilitakiwa mpewe na Real Madrid. Lakini unaruhusiwa kushakibikia Juventus leo .
mie mbona sio mkware
