Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
Messi hata asipokuwa katika ubora wake uwepo wake tu uwanjani is a fear factor inayozifunga timu nyingi kabla hazijafungwa!!Aingie tu haraka sana na kila kitu kitabadilika
Kweli kabisa
Messi hata asipokuwa katika ubora wake uwepo wake tu uwanjani is a fear factor inayozifunga timu nyingi kabla hazijafungwa!!Aingie tu haraka sana na kila kitu kitabadilika
Iceman nafatilia post zako lakn nagundua haupo kwa ajiri ya kumkubal messiKwani nyie mnavo mhate Ronaldo mnalipwa nini?
Huu unaitwa ushabiki, kila mtu ana penda anacho jiskia
HahahhahaIceman nafatilia post zako lakn nagundua haupo kwa ajiri ya kumkubal messi
Messi na cr7 n watu wawil tofaut
Hahahaha ila cr7 mnamu overate sana, kama goal la juz, messi alipga meng sana YaleHahahhaha
Hapa ni nyumbani kwa messi ana watu wake tayari.
Ni kweli sijaja kumkubali Messi
Sijawahi ku dismis talent ya Messi he is talentedHahahaha ila cr7 mnamu overate sana, kama goal la juz, messi alipga meng sana Yale
After all cr7 hardworking na messi n talented
Choice is yourz, na hii nchi huru kila mtu anaamua analopenda
Imenibidi niitafute ni wapi hii post ilipo ili niitendee haki ya kuipa LIKE.Sasa Uingereza ni ligi? Ukitaka kujua uingereza ni ligi mbove Review vikosi vya FIFA vya miaka mitatu iliyopita unakuta wachezaji waliopo asilimia tisini wanatoka La Liga. Afu jiulize nani anaweza kumkaribia Messi anaecheza EPL ili labda amzuie asichukua mchezaji bora Epl . Unasema Ronaldo kachukua mchezaji Mara mbili mfululizo EPL. Jibu simple alikutana na wabovu mana hata vipofu wana viongozi wao. Jiulize kwa nini ajachukua Mara zote Laliga? Kwa sababu kuna wanaojua kuliko yeye.
Ukweli Ronaldo ni mzuri kwenye kufunga lakn utofauti na messi ni pale Madrid wakiwa wabovu Ronaldo nae anakua mbovu ukitaka kuthibitisha ilo angalia mwanzo wa msimu huu Ronaldo alikua hafungi kwa sababu timu nzima ilipotea. Lakn Messi timu ikipotea yeye anakua bora. Review mechi zdi ya Sevila na mechi ya mwisho akiwa na Argentina kwenye kufuzu WC.
Unaipa credit EPL coz ya shindani? Serious? EPL kuna ushindano Mkuu? Be serious bhana.Tatizo ni kuwa wenzetu wana chukulia vigezo kwa kuangalia mashindano ya UEFA jambo ambalo ni kweli kuwa Madrid Barca na Atletico wamefanya vzuri zaidi.
Ila hiyo kitu haipimi ligi moja kwa moja kitu kizuri ni kuangalia ushindani wa ndani wa ligi.
Barca na Real wana uwezo wa kuchukua hata ligi ya uingereza na ujerumani, they are too good.
Mfano EPL kwa miaka 8 mfulilzo hakuna timu iliyo chuka kombe mara mbili mfululizo. Ila huko la kuga kwa miaja 8 barca kachukua mara 6. Kwangu EPL ni bora kwa maana ushindani n mkubwa.
☆ Ronaldo alichukua EPL player the year na La liga amechukua so hajashindwa. Na mchallenge na Mess afanye hivo kote.
Ronaldo now ana miaka 33, kama unajua mpira utaelewa kwa nini hawezi kuwa na kasi ile kama unayo ifikiria. na kumbuka Ronaldo alikuwa mbovu na Real ikawa ndio mbovu na si kana ulivo sema wewe.
Mkuu wewe huzungumzi uhalisia ila unazungumza kimahaba, yaani kama vijana wa teenager wakikutana na kutambiana, kila mmoja anajisifu kuwa demu wake mkali, turudi kwenye mada.We jamaa una shida sana, unarukia rukia post bila kuzielewa halaf una panic sana kama huwez fanya debate na mim kaa kushoto.
Angalia vizuri mada ya BK kaanzisha nani, siyo una ongea tuu. Nilikuwa najibu kitu ambacho nimeulizwa sku anzisha mimi.
Narudi kwenye mada
Messi kawafunga Madrid wakiwa wabovu ndio si ni disemba, Ronaldo alikuwa off -form na Madrid walikuwa off- . Mwezi august madrid walikuwa form na wakiwapiga barca nje ndani na Messi alikuwemo na hukufanya llte la maana.
Ni ukweli usio pingika kuwa Messi kawafunga Chelsea wakiwa wabovu na Buffoni aliye choka sasa hilo si kosa langu mi naongea uhalisia
Sasa kama EPL hakuna ushinda Bundes liga na La liga utasema hakuna nin? Au Serie A. Bingwa akiwa ana jirudia rudia hakuna ushindani hapo.Unaipa credit EPL coz ya shindani? Serious? EPL kuna ushindano Mkuu? Be serious bhana.
Huwezi kushindanisha wanafunzi wa Toangoma Secondary School kuwapambanisha na shule za Feza kisa tu Toangoma mitihani yao ya ndani wametoa 1 nyingi. Ninachomaanisha ni kipi? Ni hiki. Mtifuano wa ndani wa League ya Uingireza ni tofauti sana na La Liga. Uingireza timu nyingi ni mbovu mbovu, walau Man City alijitahidi kujionesha kuwa ameanza kulijua soka. Jiulize kwanini UEFA waliwapanga Man City v Liver? Walijua wakipangiwa na timu zingine wote watatoka, hakuna ambae angefika Nusu fainali.
EPL ushindano wao unatokana na viwango vya timu kubwa kama Chelsea, Man City, Arsenal, Man U hazina tofauti sana na timu za chini ndo maana Sevilla kumtoa Man U haikuwa kazi ngumu, na amemtoa jasho ipasavyo Bayern, hujiulizi kwanini? La Liga timu kama Barca, Atletico, Real Madrid zina kiwnago cha hali ya juu sana kutoka timu za chini ndo maana kufunga goli 5, 6, 7 ni jambo la kawaida.
Na nikwambie tu kuwa Barca na Real Madrid wakienda EPL misimu hata 10 mfululiza wanaweza wakapokezana hilo kombe wao tu sababu ni timu ambazo zina ubora wa hali ya juu sana. Ukitazama hata miaka ya karibuni La Liga wanaziburaza sana timu za EPL.
Ninakushangaa kusema kwamba Ronaldo akienda EPL huenda asipeak kama anavyopeak La Liga, sijui unamzungumzia Ronaldo yupi, Cristiano Ronaldo wa Real Madrid? Hivi EPL kuna timu zenye defense kama Juventus, Bayern, PSG na Barca? Na bado Ronaldo anafunga. Ronaldo hatoweza kufunga endapo akakutana na timu zenye viungo kama akina Pogba, Wilshea, Ozil, n.k ila sio akae na mafundi kama akina Isco, Modric, Kroos, Marcelo, Asensio n.k
Bas sawa but mm nikiona mtu anatumia nguvu nying kuhusu cr7 juu ya messi naona kama anamvunjia heshma. For the following reasonsSijawahi ku dismis talent ya Messi he is talented
Ila huwa na dismis pale mtu anapo tumia talent ya Messi ku dismis Uwezo wa Cr7 hapo ndio huwa nakuja hta kubishana na majirani
They are so dismissive of Cr7
Pre cautionMkuu wewe huzungumzi uhalisia ila unazungumza kimahaba, yaani kama vijana wa teenager wakikutana na kutambiana, kila mmoja anajisifu kuwa demu wake mkali, turudi kwenye mada.
Kusema kwamba Barca kaifunga Madrid wakiwa ni wabovu utakuwa unakosea sana, Messi kuwafunga Madrid hakutegemei na ubovu wa Madrid, Madrid sio timu mbovu tangu msimu kuanza mpaka sasa, timu kuwa mbovu unazungumzia kama Arsenal, Man U n.k rejea mwaka ambao Barca anafungwa na Madrid Camp Nou, mwaka huohuo Barca alichukua treble, Madrid hakuambulia kitu, je kama alikuwa on form angetoka kapa? Angemfunga Barca Camp Nou kipindi ambacho MSN ikiwa ni moto zaidi? Hizi timu zikikutana uwanjani ni tofauti na Derby ya Man U v Man City. Hawa wanacheza mpira haswaaaaaaa, ni ufundi ndio unatoa matokeo, period.
Eti Buffon alifungwa na Messi akiwa ameshaanza kuchoka, unataka Messi adhihirishe ubora wake kumfunga nani? Manuel Neur kipindi ananyooshwa kwapa na Messi si ndo alikuwa Goal Keeper bora zaidi duniani? Almunia alikuwa mbaya? Iker Casillas je? Makipa wapo wengi tu ambao wamefungwa na Messi wakiwa ktk ubora wao.
Ila ntakuona mshamba wa mpira kama unaamini kwamba magoli aliyofungwa Buffon na Messi ni uzembe wa kipamba, utakuwa ni mjinga wa hali ya juu. Kuna nafasi ambazo mchezaji kama Neymar, Messi, Ronaldo au Suarez hawawezi kumuacha kipa yoyote yule duniani. Unatazama kipa tu ila hutazami viwango vya wachezaji ktk umakini wao wa kufunga sana sana Messi na Ronaldo.
Na wewe una mdismis Cr7 ila unafanya ki diplomasia tuuBas sawa but mm nikiona mtu anatumia nguvu nying kuhusu cr7 juu ya messi naona kama anamvunjia heshma. For the following reasons
: cr7 n mkubwa kwa messi , sio vzur kaka kumlinganisha na mdogo wake
: cr7 hardworking haipendez kumfananisha na talented itakulazmu utumie nguvu nyng kuaminisha watu
: cr7 anatumia viungo karbu vyote sio vzur sana kumfanansha na anaetumia mguu wa kushoto kwa mara nyng
.Huyo jamaa ni kuacha kujadiliana nae tu, ana ushabiki usio na maana kabisa.Bas sawa but mm nikiona mtu anatumia nguvu nying kuhusu cr7 juu ya messi naona kama anamvunjia heshma. For the following reasons
: cr7 n mkubwa kwa messi , sio vzur kaka kumlinganisha na mdogo wake
: cr7 hardworking haipendez kumfananisha na talented itakulazmu utumie nguvu nyng kuaminisha watu
: cr7 anatumia viungo karbu vyote sio vzur sana kumfanansha na anaetumia mguu wa kushoto kwa mara nyng
Umeniweka kiporoNa wewe una mdismis Cr7 ila unafanya ki diplomasia tuu.
So uko kwenye kundi ilile lile na ni shabiki wa Messi kama wengine. Kwa hiyo na wewe tuta argue anywhere ntakukuta uki mdismis Cr7
Yaani Mkuu wewe una kichwa kibovu kuliko hata Makada wa ccm humu Jf.Pre caution
Huwa si argue na watu wenye maneno ya taarab kama mshamba, mjinga unajiona mjanja sjui etc kwa hiyo kama na wewe huwez ku argue na mimi kaa kushoto. Ni hayo.
Mechi nyingi ambazo Messi kawafunga Madrid walikuwa ni wabovuu(sija sema zootee). Nakumbuka kasoro mechi ya mwaka jana ya 3-2 ambayo Madrid walikuwa pungufu.ila walikuwa wako poa kuliko barca.
Nakukumbusha maneno ya pique baada ya kufungwa na madrid mechi mbili za august 2017 supercup, alisema kwa mara ya kwanza kwenye maisha yake ndio aliona Madrid imekuwa timu bora kwa ka kitu dhidi ya Barca. Sasa kama Pique mwenyewe anaadmit wewe ni nani mpaka ukatae?
Mi sja sema kuwa Messi hajaweza kumfunga buffon, ila nasema amaweza kumfunga Buffon akiwa amechoka, angalia statitstcs si mimi. Messi hakuqeza kumfunga Buffoni alo kuwa kwenye kiwango chake
Na Messi hakuweza kuifunga Chelsea iliyo kuwa kwenye kiwango chake. Hiyo ni fact mi sidanganyi.
Sasa sja jua unabisha nini.
Wewr kinacho kufanya ujione una ushabiki wa maana ni nini?Huyo jamaa ni kuacha kujadiliana nae tu, ana ushabiki usio na maana kabisa.
Wewe ndio unakichwa kibovu kwa sabab you are too petty and over sensitive over little things.Yaani Mkuu wewe una kichwa kibovu kuliko hata Makada wa ccm humu Jf.
Umeniweka kiporo![]()
![]()
![]()
![]()
Cr7 namkubal sana na kabla sijatia mkeka lazma niangalie vikos je yupo?
Ila apa naongea kama mchambuz