auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,294
Oooooo kingi kingi ooooo mungu wa mpira oooo ronaldo mviziaji. Mwaka keshoooooo
Mkuu Tatzo ni mildifield. Hil ndio tatzo kubwa sana Barcelona..viungo tulio nao wote ni wazee..I mean tunatakiwa kufanya overhaul ya viungo..tatzo hil uongoz hata haushituk.. Pia kocha wetu ni tatzo lingne..huwez kuongoza goal 4-1 ukaja kufa 3-0.. Aibu kubwa sana kwa barca..Kati ya misimu ambayo sikutegemea kuwa tutabeba UEFA basi msimu huu.
Next season tutakuwa na benchi zuri sana endapo Griezmann atakuja Barca pamoja na wachezaji wengine.
Kuna haja sana ya kutafuta winger ya kushoto.
Kwani dembele sio winger? Au amekua beki siku hizi?Kati ya misimu ambayo sikutegemea kuwa tutabeba UEFA basi msimu huu.
Next season tutakuwa na benchi zuri sana endapo Griezmann atakuja Barca pamoja na wachezaji wengine.
Kuna haja sana ya kutafuta winger ya kushoto.
Yeah hatuna kikosi strong lakini tulitakiwa tuishie hata nusu finalUkitaka jokes zaidi ni-PM
lawama za nini ukizidiwa lazima urudi nyuma iniesta,alba wakizidiwa wengine ni kurukaruka tu hawana jipya, mtachukua double jamani vumilieni tuVelverde mentality ya team ndogo bado haijamtoka kabisa kichwani inatakiwa aambiwe Barca ni team kubwa ina muscles financially na kimpira we opt for better plans za ushindi sio ku defend tu
This is shame
Ndio dawa inaingiea mkuu, vumilia!! Mwisho wa barca uko karibu!!roho inaniuma natamani mechi isingekuwa leo
Sina uhakika na ulichokijibu kama kinahusiana na kilichoandikwa, nimezungumzia winga ya kishoto na sio ya kulia. Nadhani walau umeanza kunielewa.Kwani dembele sio winger? Au amekua beki siku hizi?
Barcelona tunachezewa nusu uwanja na wewe ni kocha umekaa tu kwenye bench?This is velverdes fault
Huyu inabidi apewe shamba la viazi alime...maana na yeye kawa kimeo siku hizi...Oooooo kingi kingi ooooo mungu wa mpira oooo ronaldo mviziaji. Mwaka keshoooooo
Unadhani wanaofungwa hawana uwezo?Tumefungwa wakati tuna uwezo mkuu thats my problem
roho inaniuma natamani mechi isingekuwa leo