FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kweli baselona mmeshindwa kufunga hata goli moja dakika zote tisini??

Yaani hata ule ujanja ujanja wenu wa kuijangusha mpate penati Leo mliusahau??

Yaani timu kubwa hivyo inaongoza 4-1 halafu inashindwa kupata goli moja tu ugenini??

Nakwambieni huu uchungu wa Leo utawauma kwa kipindi kirefu sana.

Angalau hata mngetolewa kwa goli la ugenini, lakini kwa hii fedhea mtadhiakiwa sana kwanzia Leo.
Inauma mkuu, inauma mnoo
 
IMG-20180411-WA0006.jpeg
spotted in Roma streets
 
Ndosasa muache KABISA kumfananisha Mnyama Cr7 na uyu mpuuzi wenu Mess.Sasa ngojen abebe ndoo na achukue balon 6x ndo atawanyamazisha kabisa. Hata 4 mlowafunga kwenu bado waliwapa msaada kwa kujifunga magoli mawili.
 
Muosha huoshwa. Nyie msimu uliopita PSG waliwachapa 4 bila kwao kisha mkawatoa kwa magoli 6 kwenu.
Bro!! PSG na barca ni timu mbili zenye uzito tofauti.

Barca ni timu yenye historia pana sana na kariba yake haifananishwi kabisa na PSG!! Tukianza na mashabiki mpaka mafanikio.

PSG alivyo fungwa haikuwa big deal sababu kwanza alifungwa na timu kubwa yenye ubora zaidi..

Sasa hii ya leo barca kafungwa na Roma aliyekuwa katangulizwa kwa goli nyimgi na hatimae kuondoshwa mashindanoni ni aibu kubwa sana kuliko hata ile aliyeipata PSG.

Na aibu inakuja kwa kulinganisha uzito wa timu hizo mbili. Roma ni timu ndogo sana kuilinganisha na barca, endapo haya maajabu yangekuwa yamefanywa na timu kama Bayern au real Madrid wala hata isingekuwa inshu kubwa kama ilivyo hivi sasa, sababu angekuwa amegeuzwa na timu ambayo analingana nayo kariba.

Hii aibu ya Leo itawa traumatize kwa muda mrefu sana kuliko hata ile waliyofungwa na Bayern 7-0.
 
Inauma mkuu, inauma mnoo
Pole sana!! Na sipati picha mahasimu wenu wakipangwa na Roma nusu fainali wakampiga nje ndani halafu wakafika fainali na kulichukua tena, itakuwa ni matusi makubwa sana.

Haueni mtaipata labda kama hasimu na yeye atoke kama nyie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom