Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? 🙆🏿‍♂️

Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? 🙆🏿‍♂️

Sasa wambea mna exaggerate haya mambo kana kwamba ni ya ajabu sana katika jamii yetu ya Africa.

How can the same drama last for nearly four or five years?🤦🏻‍♀️🙆‍♀️ Pengine hata wahusika wamesha move past it and made up, but you guys just won't let it rest.

Kwani kuna kitu chochote mnabenefit from holding onto this? Hamuoni wambea mnatumika? Tupendaneni bana .
Mi nafikiri ungewapa ushauri hao wake wenza na mabwana zao..!!
Mwanaume anatumiwa papa na ke A kisha anampa password ke B unafikiri nini kitafuata?

Wewe ulichangia mchango upi kipindi wanadhalilishwa wakongwe wenzenu?

Sisi wambea hatutumiki, tupo kama mawakili tunawafanyia cross examination ili kubaini kosa liko wapi? 😹

Sisi hatupumziki na hatuna mpango huo, labda wao wakipumzika na sisi tutaacha mana hakutakua na shengesha.!!
 
Kilichotokea ni kua walianza kutumiana vivocha na kutongozana wengine walikulana ukweli ukweli mambo yakaenda vibaya, sasa yale mawivu na mahasira hao wanawake wamehamishiana wenyewe kwa wenyewe, kiufupi ni njaa kali za baadhi ya wenzetu
Dr 😘😘

Baelezeee baelewee..!!

Njaa nyingi humu, vivocha kidogo tayari mtu kashatuma ngomosi kajimilikisha bwana..!! 😹
 
Kuna crew ya wadada, ilipojimilikisha tu selfika nikaona hapa hapafai tena, wapo kutafuta mipira iliyokufa ili wapate topics.
😹😹😹😹
Kina nani tena hao?

Nitajie niwakanye waache tabia mbaya..!!
 
Kuna wadada saa nane usiku unawakuta online. Afu saa mbili asubuhi hadi mchana wapo online. Wanapata nn JF?
😹😹😹😹 khaaaaa..!!

Watu wasikeshe kufanya biashara, utawalisha wewe? 😹
 
Hivi ni kwa nini hisia zinaniambia wewe ni mmojawapo😁😁
Mimi? HAPANA 😹

Sijawahi kutukana, ukiniona natukanana ujue kwenye issue zingine sio kuhusu pic za watu.!!

Au huyo mtu huko selfika kavuka mstari ndo nampasha lakini simtukani..!!
 
Uzi wa selfika ni moja kati ya uzi za kipumbavu kuwahi kutokea JF, nadhani uzi ulikuwa na nia njema ila wapumbavu wakaugeuza kuwa uzi wa kipumbavu.
Lakini huchoki kuutembelea kutafuta mademu.!.! 😹
 
Lakini huchoki kuutembelea kutafuta mademu.!.! 😹
Kwan humu jf kuna mada ngapi za kipumbavu na bado nazipitia?

Cjawah kutafuta mademu huko, h taarifa unayo ww mwnyw mm mhusika siijui.
 
Unaweza kuonyesha sehemu ambayo mimi nimesema au nimekataza watu wasitume picha zao?
Unaposema unashangaa mtu kutuma picha zake maana yake kwako n jambo la ajabu na sio sahihi, kwa upande wako.

Ndo nakuuliza kwanini wasitume?

OK, naona unataka kurefusha mambo, jibu hili 👇

Kwann unashangaa watu wakituma picha zao humu
 
Unaposema unashangaa mtu kutuma picha zake maana yake kwako n jambo la ajabu na sio sahihi, kwa upande wako.
Jambo limeliongea mimi,so tafsiri yake naijua mimi na lengo langu la hiyo kauli naijua mimi,
Ndo nakuuliza kwanini wasitume?
Narudia tena,wapi nimesema wasitume? Unajua maana ya alama ya question mark? Rudi tena ukaisome hiyo comment yangu,
OK, naona unataka kurefusha mambo, jibu hili 👇

Kwann unashangaa watu wakituma picha zao humu
Kushangaa kwangu,wewe kunakuhusu nini mpaka ujue kwanini nashangaa?

Kwa kukusaidia tu,hakuna mtandao ambao watu wanaficha identity zao kama JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom