Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? 🙆🏿‍♂️

Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? 🙆🏿‍♂️

Wasalaam wakuu,

Kumekuwa na tabia mbaya humu JamiiForums ya baadhi ya vijana wa kiume kuanzisha nyuzi au kutoa comments za kuwakejeli na kuwabeza wanawake baada ya kuona picha zao kwenye jukwaa la Selfika.

Kwa kweli hii inasikitisha na inatufedhehesha wanaume.

Kaka, kama hujapendezwa na mwonekano wa dada fulani, pita tu. Si lazima kila unachokiona ukikosoe. Huna jukumu la kuwa jaji wa sura, miili au thamani ya wanawake wa JF.

Jiulize: Unapata faida gani kumdhalilisha mtu? Maisha yako yanabadilika? Unakuwa mwanaume bora? Au unajisikia tu vizuri baada ya kumuumiza mtu ambaye hakukufanya chochote?

Mwanaume mwenye kujitambua anajua tofauti kati ya preference na disrespect. Unaweza kusema “si aina yangu” bila kumdhalilisha mtu.

Na kabla hujaandika comment ya kumkejeli mwanamke kwa mwonekano wake, kumbuka nyumbani kwako kuna mama, dada, shangazi, mke au binti. Je, ungefurahia mwanaume mwingine akiwadhalilisha kwa namna hiyo?

Uhuru wa kuandika sio ruhusa ya kukosa staha.

Kijana, tafuta KISUDI cha maisha yako. Fanya kazi zako, biashara yako, familia yako na akili yako. Dunia ina mambo mengi ya kutatua kuliko kukaa nyuma ya keyboard kuwavunjia wanawake heshima.

Kumshusha mwanamke hakukufanyi uwe mwanaume zaidi.

Kama picha haikupendezi, scroll down.
Kama sio type yako, endelea na maisha yako.
Lakini heshima ibaki.

JamiiForums ni sehemu ya mijadala, sio uwanja wa kuwavunjia watu utu

Mwanaume wa kweli hahitaji kumdhalilisha mwanamke ili ajisikie yeye ni mwanaume
Tusiseme sasa
 
Umeongeza ka chumvi hapo kwenye wao sijui kumove on na kumlisha maneno ya sijui nimeibiwa?

Mi naibiwa vipi na bwana sina..!!
Nipe wako basi tuwe wake wenza 😹😹

Suala la id hilo ni lako binafsi, jamii forum unaweza kuwa yoyote na muda wowote..!!

Nimesema wewe mpaka unayajua hayo yote na kuyafatillia upo kwenye hiyo cycle..!!
Mimi pia sina bado. Sijaongeza chumvi Nimerudi kule kuangalia nimekuja na hii moja haukumbuki hii siku?
 
Attachments

  • IMG_7667.jpeg
    IMG_7667.jpeg
    134.3 KB · Views: 6
Nakuelewa unaitamani ile sisterhood, mmoja akidhalilishwa wote tunaingilia kumshambulia aliyedhalilisha, upo sahihi pia nadhani hufanyika lakini sasa inabidi tukemeane wenyewe kwa wenyewe kama mtu hajiuzi anawezaje kumtumia mtu picha yake ya utupu? yawezekana pia isiwe yake lakini kwa kua kaituma yeye inajulisha ni yake, tuwaambie wenzetu wajitunze na kujiheshimu dunia haina huruma.
Naitamani sana kweli.
Kweli kujitunza na kujiheshimu ni jambo la msingi. Melo atuwekee jukwaa la wanawake tuwe tunakafundishana humu tukija humu tunakaa kama hakijatokea kitu🤦🏻‍♀️. Maana mapenzi mtu akishaingia wengine akili inaenda likizo.
 
Wanawake mna mambo sana.
 
Bora umenisaidia dr, wasichojua wanawake wengi humu ni kwamba kuna wanawake wenzetu ni wauzaji wa kei..!! 😹😹

Kama ile iliyovuja juzi kati, nisiseme uongo yule ni muuzaji bila kiulizo..!!

Sasa mtu kama huyo unamsaidiaje na yupo kazini kwake anawatumia nyapu wateja zake?

Mimi siwezi kumtetea mtu anayefanya biashara zake kwakweli.!.! 😹
Hizo picha zifute itakua ni zile za kudownload ili kumdhalilisha tu mtu, mtu anayetaka kudhalilisha mwingine huwa hachagui silaha😅
 
Mimi pia sina bado. Sijaongeza chumvi Nimerudi kule kuangalia nimekuja na hii moja haukumbuki hii siku?
Hapo sasa ni wapi aliposema mambo yao yameisha na wao wame move on? Au umesahau ulisema nini kule mwanzo?

Haya sasa endelea kusoma niliongea nini kuhusu hilo alilosema?

Sikiza nikwambie labda wewe hujanijua vizuri, mimi sipendi mwanamke yoyote asemwe na mwanaume kwa ubaya wake au muonekano wake. Juzi kati nilikiwasha sana kutokana na uzi wa min me kuponda wanawake wa JF haswa wa jukwaa la selfika..!!

Pitia Uzi wake utaona..!!

Kuhusu suala la wake wenza wanaoshare mboro na kuja kusutana na kudhalilishana hao sina msaada nao sababu wanajua wanachokigombania..!! (Hao lazima nipitishe unafki shengesha lipambe moto) Ni mambo ya kike

Kuhusu wanaume ambao wanavujisha pic za wanawake, hilo nilishaongelea na nishakula ban sana kisa kukemea..!!

Hao pia sina msaada nao sababu ni SIKIO LA KUFA.
Halafu siwezi kuingilia mahaba yao na biashara zao wanazofanya..!! Hapo wanawake wenyewe WAJIHESHIMU.

Kama mwanaume anaweza kushare nudes pic zako kwa member wengine means amekudharau na amekuona wewe MALAYA

Kosa ni lao binafsi KE ambao wameshindwa kutambua thamani zao na watu sahihi wa kudate nao..!!
 
Hizo picha zifute itakua ni zile za kudownload ili kumdhalilisha tu mtu, mtu anayetaka kudhalilisha mwingine huwa hachagui silaha😅
Kiongozi upo? 😹

Pics sio za kudownload mi ni mtaalamu kwenye ile sekta ya kuzoom..!! 😹

Pic zinaonyesha sura mbili, ya chini na ya juu..!!

Nifute ili iweje sasa?
 
Wote hao lakini wanawake walinyamaza..!!

Wanataka tudeal na matokeo sio chanzo..!!

Chanzo kishajulikana wanawake wenyewe wanaotuma nudes zao.
Sasa mtu kashindwa kutunza utupu wake kashare, wengine wanatoa wapi nguvu za kuvumilia kuacha kushare??

Wao watume sana lakini wakae wakijua zitasambazwa..!!

Mi siwezi kumtetea mtu ambaye kwa utashi wake kaamua kuanika tumbua lake..
Leo sasa mkubaloane kuwa haya yote yameisha na yameshapifa kwa hiyo watu wasonge mbele hakuna tena kurudi nyuma, pia watu wafute hizo picha muanze upya kutokea hapo😅
 
Nikataka nidhanie umeandika nyuzi ya kuponda mwanamke ningejiuliza hiyo tabia umetoa wapi
 
Kiongozi upo? 😹

Pics sio za kudownload mi ni mtaalamu kwenye ile sekta ya kuzoom..!! 😹

Pic zinaonyesha sura mbili, ya chini na ya juu..!!

Nifute ili iweje sasa?
Kwema tajiri, nasema mzifute ili muanze upya kusiwe tena na hizi mambo huu ushauri wangu mnapaswa kuuchukua
 
Leo sasa mkubaloane kuwa haya yote yameisha na yameshapifa kwa hiyo watu wasonge mbele hakuna tena kurudi nyuma, pia watu wafute hizo picha muanze upya kutokea hapo😅
Yameisha lakini SIFUTI

Nimeanza biashara mpya ya kuuza vifaa vya usafi, hizo pic nitazitumia kama BEFORE AND AFTER..!! 😹
 
Naitamani sana kweli.
Kweli kujitunza na kujiheshimu ni jambo la msingi. Melo atuwekee jukwaa la wanawake tuwe tunakafundishana humu tukija humu tunakaa kama hakijatokea kitu🤦🏻‍♀️. Maana mapenzi mtu akishaingia wengine akili inaenda likizo.
Nawaunga mkono kwenye hili. Picha zote mbaya zifutwe muwe kitu kimoja muanze upya mshirikiane
Lamomy huu ushauri ni wa kujenga
 
Ni kweli bana hata sio uongo jf ina pisi mbovu kweli kweli maana binafsi sijaonana na hata mmoja wao natumia imagination tu, so kwa imagination yangu zitakuwa mbovu tu
 
Hapo sasa ni wapi aliposema mambo yao yameisha na wao wame move on? Au umesahau ulisema nini kule mwanzo?

Haya sasa endelea kusoma niliongea nini kuhusu hilo alilosema?

Sikiza nikwambie labda wewe hujanijua vizuri, mimi sipendi mwanamke yoyote asemwe na mwanaume kwa ubaya wake au muonekano wake. Juzi kati nilikiwasha sana kutokana na uzi wa min me kuponda wanawake walinyamaza JF haswa wa jukwaa la selfika..!!

Napitia Uzi wake utaona..!!

Kuhusu suala la wake wenza wanaoshare mboro na kuja kusutana na kudhalilishana hao sina msaada nao sababu wanajua wanachokigombania..!! (Hao lazima nipitishe unafki shengesha lipambe moto) Ni mambo ya kike

Kuhusu wanaume ambao wanavujisha pic za wanawake, hizo nilishaongelea na nishakula ban sana kisa kukemea..!!

Hao pia sina msaada nao sababu ni SIKIO LA KUFA.
Halafu siwezi kuingilia mahaba yao na biashara zao wanazofanya..!! Hapo wanawake wenyewe WAJIHESHIMU.

Kama mwanaume anaweza kushare nudes pic zako kwa member wengine means amekudharau na amekuona wewe MALAYA

Kosa ni lako binafsi KE ambao wameshindwa kutambua thamani zao na watu sahihi wa kudate nao..!!
Umeongea kwa busara kubwa sana na umeibariki jumapili yangu vyedi kabisa. Sasa basi ili tupate pa kuanzia inabidi hizo picha zote zofutwe huko pm na kwenye simu zenu, alafu muache kushambuliana. Hapo mtajenga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom