Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? 🙆🏿‍♂️

Kuna crew ya wadada, ilipojimilikisha tu selfika nikaona hapa hapafai tena, wapo kutafuta mipira iliyokufa ili wapate topics.
Ni hatari sana kwa afya ya akili.
Lengo la uzi likabadilika kabisa ikageuka sehemu ya madukuduku na kuvuana nguo. Kila siku ni who slept with who, who sent nude pictures to whom, or who stole whose man unajiuliza Yarabi!!! isn't this stuff completely normal in today's world, or do some people live on Mars?
 
JF imeingiliwa na vitoto vya elf mbili
Kila siku nawaasa wa kina Mello washugulikie hili swala
 
Wasalaam wakuu,

Kumekuwa na tabia mbaya humu JamiiForums ya baadhi ya vijana wa kiume kuanzisha nyuzi au kutoa comments za kuwakejeli na kuwabeza wanawake baada ya kuona picha zao kwenye jukwaa la Selfika.

Kwa kweli hii inasikitisha na inatufedhehesha wanaume.

Kaka, kama hujapendezwa na mwonekano wa dada fulani, pita tu. Si lazima kila unachokiona ukikosoe. Huna jukumu la kuwa jaji wa sura, miili au thamani ya wanawake wa JF.

Jiulize: Unapata faida gani kumdhalilisha mtu? Maisha yako yanabadilika? Unakuwa mwanaume bora? Au unajisikia tu vizuri baada ya kumuumiza mtu ambaye hakukufanya chochote?

Mwanaume mwenye kujitambua anajua tofauti kati ya preference na disrespect. Unaweza kusema “si aina yangu” bila kumdhalilisha mtu.

Na kabla hujaandika comment ya kumkejeli mwanamke kwa mwonekano wake, kumbuka nyumbani kwako kuna mama, dada, shangazi, mke au binti. Je, ungefurahia mwanaume mwingine akiwadhalilisha kwa namna hiyo?

Uhuru wa kuandika sio ruhusa ya kukosa staha.

Kijana, tafuta KISUDI cha maisha yako. Fanya kazi zako, biashara yako, familia yako na akili yako. Dunia ina mambo mengi ya kutatua kuliko kukaa nyuma ya keyboard kuwavunjia wanawake heshima.

Kumshusha mwanamke hakukufanyi uwe mwanaume zaidi.

Kama picha haikupendezi, scroll down.
Kama sio type yako, endelea na maisha yako.
Lakini heshima ibaki.

JamiiForums ni sehemu ya mijadala, sio uwanja wa kuwavunjia watu utu

Mwanaume wa kweli hahitaji kumdhalilisha mwanamke ili ajisikie yeye ni mwanaume
Hilo jukwaa la selfika linapatikana. Wapi huko Dasalam mkuu?
 
Haya ni maisha ya watu binafsi, sidhani kama ni busara kujaji mtu anaingia saa ngapi na kutoka saa ngapi
Ndomana nikisema humu JF kuna wachawi watu wanabisha.

Huyu jamaa ana element zote znazo ashilia ni mchawi na mtu wa kufwatilia maisha ya watu.

Haiwezekani unashinda humu kufwatilia ID gani inalala mda gani na kutoka online mda gani.
 
Ni hatari sana kwa afya ya akili.
Lengo la uzi likabadilika kabisa ikageuka sehemu ya madukuduku na kuvuana nguo. Kila siku ni who slept with who, who sent nude pictures to whom, or who stole whose man unajiuliza Yarabi!!! isn't this stuff completely normal in today's world, or do some people live on Mars?
Kwa hali hiyo ni heri kukaa pembeni, eti kuonana na mtu nayo ni topic ya kujadiliwa kabisa, isn't it normal?
 
Nakumbuka kipindi hicho akitokea mwanaume amemsema vibaya mwanamke kwenye ule uzi wanawake wote walikuwa wanajoin forces huyo mwanaume ataukimbia tu huo uzi.

Sijui ni nini kilitokea hapa katikati sisi kwa sisi tukaanza kutafunana😌😌. Na baadhi ya wanaume wakapata nguvu ya kututumia sisi sisi wanawake ili tuwadhalilishe wanawake wenzetu huku wamekaa pembeni mikono misafi. Badala ya mwanamke kusimama kumtetea mwanamke mwenzake yeye ndio kwanza anamkandamiza kwa kutumia resources alizotumiwa na wanaume.

Wanawake tumejua kutumika kuchafuana. Sasa wanaume wakisema sisi ni wabaya haishangazi kwa sababu sisi wenyewe kila siku tunasemana sisi ni wabaya.
Kilichotokea ni kua walianza kutumiana vivocha na kutongozana wengine walikulana ukweli ukweli mambo yakaenda vibaya, sasa yale mawivu na mahasira hao wanawake wamehamishiana wenyewe kwa wenyewe, kiufupi ni njaa kali za baadhi ya wenzetu
 
Nakumbuka kipindi hicho akitokea mwanaume amemsema vibaya mwanamke kwenye ule uzi wanawake wote walikuwa wanajoin forces huyo mwanaume ataukimbia tu huo uzi.

Sijui ni nini kilitokea hapa katikati sisi kwa sisi tukaanza kutafunana😌😌. Na baadhi ya wanaume wakapata nguvu ya kututumia sisi sisi wanawake ili tuwadhalilishe wanawake wenzetu huku wamekaa pembeni mikono misafi. Badala ya mwanamke kusimama kumtetea mwanamke mwenzake yeye ndio kwanza anamkandamiza kwa kutumia resources alizotumiwa na wanaume.

Wanawake tumejua kutumika kuchafuana. Sasa wanaume wakisema sisi ni wabaya haishangazi kwa sababu sisi wenyewe kila siku tunasemana sisi ni wabaya.
Chanzo ni kushea mboro na kuanza kutambiana na kuzodoana wenyewe kwa wenyewe..!!

Na wanaume kuvujisha picha za utupu za wanawake walizotumiwa..!!

Wambea sisi kazi yetu kuwasaidia kuchimbua yaliyojificha kati ya hao wake wenza..!!
 
Jukwaa la selfika ndiyo ule uzi wa yule Sir Ngoma?

Mbona picha zenyewe ni miguu na mikono isiyo na sura!! Au full mnatumiana PM?

BTW: Kuna mdada kisu humu ni wakili katupia selfie yake kwenye avatar!!😀
 
Wasalaam wakuu,

Kumekuwa na tabia mbaya humu JamiiForums ya baadhi ya vijana wa kiume kuanzisha nyuzi au kutoa comments za kuwakejeli na kuwabeza wanawake baada ya kuona picha zao kwenye jukwaa la Selfika.

Kwa kweli hii inasikitisha na inatufedhehesha wanaume.

Kaka, kama hujapendezwa na mwonekano wa dada fulani, pita tu. Si lazima kila unachokiona ukikosoe. Huna jukumu la kuwa jaji wa sura, miili au thamani ya wanawake wa JF.

Jiulize: Unapata faida gani kumdhalilisha mtu? Maisha yako yanabadilika? Unakuwa mwanaume bora? Au unajisikia tu vizuri baada ya kumuumiza mtu ambaye hakukufanya chochote?

Mwanaume mwenye kujitambua anajua tofauti kati ya preference na disrespect. Unaweza kusema “si aina yangu” bila kumdhalilisha mtu.

Na kabla hujaandika comment ya kumkejeli mwanamke kwa mwonekano wake, kumbuka nyumbani kwako kuna mama, dada, shangazi, mke au binti. Je, ungefurahia mwanaume mwingine akiwadhalilisha kwa namna hiyo?

Uhuru wa kuandika sio ruhusa ya kukosa staha.

Kijana, tafuta KISUDI cha maisha yako. Fanya kazi zako, biashara yako, familia yako na akili yako. Dunia ina mambo mengi ya kutatua kuliko kukaa nyuma ya keyboard kuwavunjia wanawake heshima.

Kumshusha mwanamke hakukufanyi uwe mwanaume zaidi.

Kama picha haikupendezi, scroll down.
Kama sio type yako, endelea na maisha yako.
Lakini heshima ibaki.

JamiiForums ni sehemu ya mijadala, sio uwanja wa kuwavunjia watu utu

Mwanaume wa kweli hahitaji kumdhalilisha mwanamke ili ajisikie yeye ni mwanaume
Let me reserve my opinion
 
Nakumbuka kipindi hicho akitokea mwanaume amemsema vibaya mwanamke kwenye ule uzi wanawake wote walikuwa wanajoin forces huyo mwanaume ataukimbia tu huo uzi.

Sijui ni nini kilitokea hapa katikati sisi kwa sisi tukaanza kutafunana😌😌. Na baadhi ya wanaume wakapata nguvu ya kututumia sisi sisi wanawake ili tuwadhalilishe wanawake wenzetu huku wamekaa pembeni mikono misafi. Badala ya mwanamke kusimama kumtetea mwanamke mwenzake yeye ndio kwanza anamkandamiza kwa kutumia resources alizotumiwa na wanaume.

Wanawake tumejua kutumika kuchafuana. Sasa wanaume wakisema sisi ni wabaya haishangazi kwa sababu sisi wenyewe kila siku tunasemana sisi ni wabaya.
Tatizo ni wanawake wengi kushare urungu m1 ndio kivumbi kika anza hapo ni kurushana roho hadi keshokutwaa.
😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom